Nafasi ya kazi front desk officer position

end justify means

Senior Member
Jan 16, 2014
129
26
Gdence Auto Spare Parts and Service ni kampuni inayo jihusisha na uuzaji wa vipuli vya magari kutoka German na urekebishaji (Service) ya magari hayo.

Ofisi zetu ziko Dar es salaam maeneo ya Sinza na Tandale Tanesco. Tunapenda kutangaza nafasi moja (1) ya kazi nafasi ya FRONT DESK OFFICER.

VIGEZO VYA NAFASI HIYO.
* UWE UMEMALIZA KIDATO CHA 4 AU ZAIDI
*UWE NA UWEZO WA KUTUMIA KOMPUTA NA MS Office.
*UWE NA UWEZO MZURI WA KUMWELEWA NA KUONGEA NA WATEJA.
*UWE NA UELEWA NA UZOEFU WA KUTUMIA SOCIAL MEDIA.
*UWE UNAISHI MKOA WA DAR ES SALAAM.

NB: TUTATOA KIPAUMBELE CHA KWANZA KWA WANAWAKE HIVYO TUNAHIMIZA WANAWAKE WAOMBE NAFASI HII.

KWA YEYOTE ATAKAYE PENDA KUOMBA NAFASI HII ATUANDIKIE BARUA NA WASIFU WAKE WA KAZI (CV) NA ATUME KUPITIA BARUA PEPE gdenceapartments@gmail.com Mwisho wa maombi haya ni 12/02/2025.

Asante.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom