Hope urassa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 4,212
- 10,604
Ulimtongoza ukiwa umelewa hebu kumbuka vzuri
Tafuta demu mmoja mzuri hata tu kumlipa aje akae 2 days utembee naye mtaani aigize haswa kuwa wewe ndiyo wake uone mfumukoKwema kwema wakuu...
Wakuu nimekuja tena maana hapa ndio hom sweet hom..
Sifanyi kitu hovyo bila maoni na ushauri wenu wakuu..
Sasa wakuu hii ishu ya kutoka na watu wazima sasa imeanza kunipa negative effects...
Bila kuzunguka wakuu kuna bibi mmoja hvi ameanza kutanganza kwa wadau na wamama wenzake kuwa mimi namtaka.. alafu yeye amenikata..
Sasa naanza kupata story kwa kila mtu nae kutana nae mtaani hapa kwamba mimi nimtaka huyo bibi wakati ni kitu hakipo kabisa aiseeeeee..
Sasa wakuu hii imeanza nialibia CV hapa mtaaa maana kila sister duu wemeanza kunitenga kwa kuzani mimi nakula yule bibi sijui ..
Afadhari angekua hata anajiweza au ana T 3 ila hana .
Wakuu naombeni ushauri huyu mtu ili asiendelee kunisambazia mbya nifanyaje maana nishamblok kila sehemu na wala siongei nae tena l...
Naona hiko kitendo cha mimi kukaza kuongea nae na yeye ameanza kuzusha mbaya aiseee....
Wakuu nafanyaje hapa..??
Manyanza
Angel Nylon
Mi ni mcheshi mkuu..Swali ni kwamba, kwanini wewe tu mtaa mzima?!.
Hey situmii pombe wala kilevi chochote sijawahi mtongozaUlimtongoza ukiwa umelewa hebu kumbuka vzuri
Mkuu naomba tuongee hili vzri naona kama lina mashiko hviTafuta demu mmoja mzuri hata tu kumlipa aje akae 2 days utembee naye mtaani aigize haswa kuwa wewe ndiyo wake uone mfumuko
Utamuua ajuza wa watu na kihoro😂😂😂Mkuu naomba tuongee hili vzri naona kama lina mashiko hvi
Mpumbavu huyuUtamuua ajuza wa watu na kihoro😂😂😂
Unacheka na wamama na flattery words!. wamama unacheka nini kwa mfano?!, tuanzie hapoMi ni mcheshi mkuu..
Nacheka na kila mtu
Sasa mkuu mi naona kawaidaUnacheka na wamama na flattery words!. wamama unacheka nini kwa mfano?!, tuanzie hapo
Mkuu hapa sio kusingiziwa, kuna namna