Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,647
- 75,837
Easy bro....siwezi kwazika.....bora uwe kenge kuliko kuwa KENGE MALAYA
Labda uendelee hadi baadae saa 12 jioni hivi naweza pandisha mori
Daby kama ninakukwza let me know dat
Easy bro....siwezi kwazika.....bora uwe kenge kuliko kuwa KENGE MALAYA
Daby kama ninakukwza let me know dat
Anazingua siyo... afu jamaa nilikuwa nakutafuta wacha nijeHuyo jamaa haendi Nai wala nin.
Anatuuzia chai tu
Nashukuru mkuu ila nifafanulie hiyo madhouse ni nini specialHaha.. ukifika Nai tafuta wazeya wambie wakupeleke madhouse ukiona hapafai nenda westland kuna K1 au pavement huko utakutana na manzii wengi watakupa kampani na shemeji.
Pakikushinda mtafute Saint Ivuga akupeleke kayole estate ndiyo mitaa yake.
Cc Saint Ivuga
Kiwanja mzee.... na pamekaa kama jina lilivyo tu...mlinde shemeji mkishaingia kule wanaweza kuondoka nayeNashukuru mkuu ila nifafanulie hiyo madhouse ni nini special
MK254 unaitwa huku.
Duh hongera sanaWakuu J 5 naenda Nairobi na kimwana wangu ila tunapenda kutembelea sehemu za club na zile za kujiachia hata zile za kimalaya flani mwenye ufahamu wa hayo maeneo anijuze Asanteni
Dah! Huku wapi umeniita mkuu, naona kama nimeingia choo cha kike..hehehehe
Ningekua wa msaada kwa huyo jamaa miaka ya hapo awali nilipokua nakatiza katiza mjini usiku mida ya wanga, ila siku hizi nikiwa Nairobi natulia na familia haalfu baada ya taarifa za habari saa tatu nasinzia.
Kipindi hicho kulikua na mtaa unaitwa Koinange street, apitie pitie huko labda shughuli bado iko.
Nenda Bilionea Club ,Baricho Rd unashukia pale Makaburi karibu na Nyayo stadium nyuma ya Nakumatt Hypermega,au K2 Parklands kama una hela nenda Westlands SankaraWakuu J 5 naenda Nairobi na kimwana wangu ila tunapenda kutembelea sehemu za club na zile za kujiachia hata zile za kimalaya flani mwenye ufahamu wa hayo maeneo anijuze Asanteni
Asante mkuu ntatembembea kote huko Nina siku 4, ila ni nini iko hapo special na wako hata jumatanoNenda Bilionea Club ,Baricho Rd unashukia pale Makaburi karibu na Nyayo stadium nyuma ya Nakumatt Hypermega,au K2 Parklands kama una hela nenda Westlands Sankara
Huko kwanza ni kula bata sana,disco la nguvu na pia kunetwork na wenye Nairobi,ila anagalia warembo wa Kenya ni matata sana usiende hangaika nao usije lishwa ''mchele''Asante mkuu ntatembembea kote huko Nina siku 4, ila ni nini iko hapo special na wako hata jumatano
River Rd mchana kweupe biashara ya vitumbuu inafanyika,utaviona viewekwa kandokando ya barabara mbele ya magorofawe tembea tu mitaa ya city centre na tom mboya street kila hotel au bar utayoiona ujue usiku inakuwa club!! nairobi raha sana
uende pale kibera mimi ntakukuta mitaa hiyo kwa mama otekKibera bro mbona sio nimepewa taarifa
Dah! Saa tatu unasinzia Mkuu wakati ndiyo kwanza watu wanaanza kujiandaa kwenda kujirusha!? Je, umeshaingia rasmi kwenye jamii ya Wazee?
Mkuu inafikia wakati kwenye maisha inabidi kukunja mkia na kutulia ukiota jiko na mkeo na hatimaye kuishia kitandani. Ukiona umefikia umri wa kuagizwa karo za sekondari na wanao, basi tulia waachie dunia wenyewe.
Mimi nimekatiza kote kote, nilikua mnyama wa usiku, kwanza huko Tanzania ndio usipime, Dar yenyewe pale MaDJ walikua wanatangaza kwenye vipaza sauti nikiingia 'tunatambua uwepo wa rais wa Nairobi'.
Zenji kule aisei vurugu, vlabu vyote nilifunika, Arusha na Karatu nikaziba, Dodoma, Tabora n.k.
Ukija Kenya miji yote nilihakikisha wanatambua uwepo wangu....
Yote yana mwisho mkuu, inabidi kusinzia saa tatu na kuwaacha wenye dunia watoke na kufanya yao.
Wakuu J 5 naenda Nairobi na kimwana wangu ila tunapenda kutembelea sehemu za club na zile za kujiachia hata zile za ... flani mwenye ufahamu wa hayo maeneo anijuze Asanteni