we uliumwa Corona?I see Mkuu....... hapa kuna kazi. Ahsante maana mimi nilijiaminisha sana kwenye hizi konkesheni (Ingawaje Mzee wangu ambaye alikuwa ni mtaalamu sana wa hizi maana hata akiumwa mafua alikuwa anajifukiza) aliondoka na hii kitu. Na mimi nilipougua nilikimbilia haya makitu nikapata nafuu... kumbe ni bahati nasibu.
I see kwa kweli hali ni mbaya sana