Nadhani style nzuri ya kulala kwa wapendanao ni hii.

Hata mimi na mke wangu tunaipenda hiyo style, yaani full usingizi, kwanza hata kama ulikiwa huna nyege kwa mlalo huu ikifika usiku wa manane jamaa laazima asimame
 
Moja ya style mubashara sana inaondoa hata kajiugomvi kasicho nakichwa wala miguu
 
endeleeni tu... ila kuna style zingine hapo wakuu zimekaa kuchokozana kugegedana tu!!!!
 
Mi nadhan mliooa mtupe exposure wengne tutulie kdg watu wengne tunafuatilia hii series please please tupeni maujuz mlooa
 
siwezi lala nikiwa nimegusana ngozi na mtu yeyote hata mpenzi wangu baada ya tendo naenda lala kwenye kochi kiukweli sipende ngozi yangu uguswe kwanza nalala na nguo bafuni tu ndo navua nguo zote khaa mambo ya kidhungu ayo
 
Aseeh... watu mnakula raha buana.
mambo ya kidhungu ayo duh mi siwezi kulala na kuguswa na mtu akhaa bafuni tu ndo kuna mamlaka ya kuona ngizi yangu lakini si mupenzi chips ale na pia anilalie akha hahaaaa
 
siwezi lala nikiwa nimegusana ngozi na mtu yeyote hata mpenzi wangu baada ya tendo naenda lala kwenye kochi kiukweli sipende ngozi yangu uguswe kwanza nalala na nguo bafuni tu ndo navua nguo zote khaa mambo ya kidhungu ayo
Una miss vitu vizuri. Siku moja inatakiwa ishushwe darasa la jinsi ya kulala na mwenzako
 
Back
Top Bottom