Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,413
- 3,116
Habari JF , kwa kifupi kabisa kwa katiba tuliyo nayo ni katiba ambayo ina upendeleo mkubwa kwa watawala na kuwapa nguvu kubwa kutawala .
Kwa maana nyingine sio katiba ya kizalendo sababu haiwapi nguvu sana wananchi na hailindi sana mali za Nchi yetu .
Chama chochote kikisha ingia madarakani kitaipenda tu .
Hivyo kupambana na kuandamana kushinikiza sheria za uchaguzi kuboreshwa ikiwemo tume huru ni kupambania watu sio Nchi .
Kama tuko serious sana nchi ni bora kuandamana Nchi nzima kudai katiba MPYA ambayo ndani yake tutapata tume huru .
Kuna watu watasema Katiba inachukua muda mrefu lakini tushachelewa sana nchi kama nchi ni bora tusichelewe zaidi .