unauhakika gani kama hizo ni bangi??Katika sakata hili la madawa ya kulevya jana ijumaa iliongezeka list ya watu wengine akiwemo video queen maarufu anayefahamika kama "TUNDA"
Kinachodaiwa kumpeleka video queen huyu central siku ya jumatatu ni kuhusu kuhusika katika matumizi ya madawa ya kulevya .....Katika page yake ya instagram january 14 mwaka huu alipost picha ya kinachohisiwa kuwa bangi nne zilizonyongwa, Ikumbukwe ya Kwamba bangi ni moja ya madawa ya kulevya
View attachment 467311
Lkn kimatendo kamzidi akili mpk baba yakeivi uyu si mtoto kabisa, aiseee
Majani ya Chai yNini kinadhihirisha kuwa hiyo ni bangi na sio majani ya chai yaliyosokotewa humo?
Ni nini kitatufanya tuamini kuwa hivyo vitu hapo ni vya Tunda.
Majani ya chai gani yapo hivyo, hayana hata lebo kuonyesha yanatoka kiwanda gani, na pia ni vyake kwa kuwa amepost kwenye akaunti yake. Mtu huwezi kupost kitu kama hicho halafu ukakana siyo mtumiaji.Nini kinadhihirisha kuwa hiyo ni bangi na sio majani ya chai yaliyosokotewa humo?
Ni nini kitatufanya tuamini kuwa hivyo vitu hapo ni vya Tunda.
DeadPolisi: Unatoa wapi pesa za kushinda hotelini kila siku?
Tunda: Nahongwa na bwana zangu.
Polisi: Tutajie majina?
Tunda: vigogo ndani ya ccm
Polisi: OK case CLOSED. Go home.!
Sasa zile ni nini? Zile ni bangi acha ushabiki.unauhakika gani kama hizo ni bangi??
Tukikifungulia kesi ya uchochezi tutakuwa tumekuonea?
Haahaaahaaaa... Kabisa mkuuPolisi: Unatoa wapi pesa za kushinda hotelini kila siku?
Tunda: Nahongwa na bwana zangu.
Polisi: Tutajie majina?
Tunda: vigogo ndani ya ccm
Polisi: OK case CLOSED. Go home.!
Hako kabinti kako vizuri.
hujaelewa maada tafta mtu wa karibu akuelewesheunauhakika gani kama hizo ni bangi??
Tukikifungulia kesi ya uchochezi tutakuwa tumekuonea?
Tayari umepanic
ThibitishaSasa zile ni nini? Zile ni bangi acha ushabiki.
HataaarKatika sakata hili la madawa ya kulevya jana ijumaa iliongezeka list ya watu wengine akiwemo video queen maarufu anayefahamika kama "TUNDA"
Kinachodaiwa kumpeleka video queen huyu central siku ya jumatatu ni kuhusu kuhusika katika matumizi ya madawa ya kulevya .....Katika page yake ya instagram january 14 mwaka huu alipost picha ya kinachohisiwa kuwa bangi nne zilizonyongwa, Ikumbukwe ya Kwamba bangi ni moja ya madawa ya kulevya
View attachment 467311
JIONGEZENI. CHAMBUENI MAMBO KAMA WATU WENYE UPEO. HIZO NI BANGI. KWA HIYO HOJA ZENU ZIWE KWENYE TATIZO LA MADAWA AU VITA HII YA MADAWA. AU MATUMIZI YA MADAWA KWA WASANII NA SI VINGINEVYO. MNAPINGA KWAMBA HIO SIO Banging ILI MUONEKANE MKO MAKINI ILA UKWELI MNAUJUA.. HATA HIVYO SIDHANI KAMA BANGI NI TATIZO HASA WAKI ROLL IKIWA DRY AU NA KALI NYOTA PENGINE WASANII HAWA WANA NYONGEWA NA NGADA NDANI YAKE. MIMI MWENYEWE NI SHUHUDA NISHAONA MTU ANANYONGA BANGI NA VALIUM VILE VIDONGE.. ANAVISAGA NA KUCHANGANYA NA MJANI.. AKIVUTA KAMA TEJAKunasehemu imeandikwa hapo kuwa hiyo ni misokoto ya bangi.? Au wewe ndio Mtuniaji na unauzoefu nayo? Kama ndio style anayotumia bwana mdogo mwambieni ajiandae kuangukia pua huko mahakamani hasa litakapokuja Suala la ushahidi.
Nini kinadhihirisha kuwa hiyo ni bangi na sio majani ya chai yaliyosokotewa humo?
Ni nini kitatufanya tuamini kuwa hivyo vitu hapo ni vya Tunda.
Sasa mbona wewe umeshaita bangi na kusema ni yake?
unauhakika gani kama hizo ni bangi??
Tukikifungulia kesi ya uchochezi tutakuwa tumekuonea?