sibusiso dlomo
JF-Expert Member
- Apr 23, 2016
- 690
- 384
Hapana kulipa lazimaJee kuhusu watu walio staafu kazi (60+ yrs) wamesamehewa kulipa hii kodi kwa nyuma zao zankuishi??
Wanalipa hakuna msamaha mzee wangu analipa kitambo sana now 65Wadau hebu tujiongeze na tusijitoe ufahamu mbona bia na sigara waziri akipandisha hatusemi bei zianze mara moja? Tuache kujitoa ufahamu.Waziri katoa mapendekezo na mpaka bunge wajadili wakipitisha kuanzia Julai,2017 ndiyo itakuwa utaratibu.Je angesema laki 5 ungesema barua uliyopewa ineandikwa 90,000 hivo unataka ongezea kikichopungua?Wewe kalipe tu.Nachojua wazee wa miaka 60+ wenye nyumba mmoja ambayo siyo ya biashara wamesamehewa na walemavu wasiokuwa na shughuli ya kuwaingizia kipato nao wamesamehewa.
Unaweza ambulia chochote hapo chini kwenye hiyo linkKabisa Mkuu
Kwa mujibu wa maelezo yao, mwenye umri wa miaka 60 na kuendeleza anapata msamaha nyumba moja anayoishi na kama ana nyumba zaidi ya moja alafu zile zingine atalipia kama kawaidaWanalipa hakuna msamaha mzee wangu analipa kitambo sana now 65
Tena kwenye kukadiria kodi ya jengo wanaipaisha nyumba yako ionekane ina thamani ya juu, kimbembe kama unatakiwa ulipwe fidia kupisha kitu chochote kwa manufaa ya umma, thamani ya nyumba inakuwa chini tenaMambo mengine nimagumu Sana. Yanii ujengee kwa tabu kwa gharama za juu,halii ilivyongumu bado mtu anakujaa kukwambia ulipie kodi yan unalipia sehemu unayoishii sibora ingekuwa ya biashara? Bado kidogo kodi yakichwa inarudii. Ukiendesha gari kwenye lami ulipie na baraba baraa ya vumbii iwepo na bei yakee kutokana na garii
Malimbikizo au ni kwa mwaka yaani 2016/17?mbona nyingiMimi mwaka jana nimelipa 264,000
....Nenda ofisi ya kata na risiti ya mwisho, utaandikiwa barua uende TRAHivi step za kulipia zinakwendaje ili upate hiyo karatasi maaana mara ya mwisho kulipa ilikuwa mwaka jana mwezi March katika ofisi ya kata ....sasa kwa TRA sijui inakuaje hapo?naomba nijuze
Leo kwenye kipindi cha TV cha TRA wamesema above 60...halipi kodi kwa nyumba anayoishi sharti isiwe nyumba ya biashara.Hapana kulipa lazima
kodi ya jengo hailipwi kwenye jengo la biashara tuu hata nyumba ya kuishi inalipiwaYaani ukishaezeka tu na kuweka grill mtu akawa anakaa ndani kulinda, unakutana na notice ya kodi ya jengo
Nalifahamu hilo mkuu,nadhani tulikuwa tuna-discuss na mdau mmoja kuhusu kulipa kodi 360,000 ambayo tuliiona ni kubwa ndo maana mjadala ukaegemea kwenye nyumba ya biashara (of course tulikuwa na sintofahamu kwa baadhi ya vigezo)kodi ya jengo hailipwi kwenye jengo la biashara tuu hata nyumba ya kuishi inalipiwa
Nadhani baraza la Madiwani la maeneo husika ndilo linapanga (sina uhakika ila kwa kuwa kodi ya majengo ilikuwa chini ya halmashauri nahisi kila halmashauri ilikuwa inapanga bei yake)Nimeshangaa, Mwanza wanalipa 20,000 na Tabora wanalipa 25,000, Songea 12,500, Mbeya 5,000, Dodoma 3,000 kweli kuna kiini macho sijui wanatumia vigezo gani,