Innocent Kirumbuyo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,641
- 4,457
- Thread starter
- #21
Mkuu mm nipo mwanza kwenye jeduali la tra mwanza eneo nililopo ni 10000 mm nashangaa elfu tisinikwa mwaka ila inategemea na mkoa maana kuna sehemu nyingine ni 20,000 na hata zaidi ya hapo