Naamini atakachofanywa North Korea na Marekani kitakuwa ni Funzo ulimwenguni

Mi nashangaa hata wanaoshabikia tena wengine wanasema eti North Korea ataiadabisha Marekani, hivi hawa wanatumia facts zipi? Lazima muelewe kwanza, Vita ya Marekani na N. Korea itapiganwa kwenye ardhi ya North Korea na sio Marekani, so hata North Korea ikishinda vita bado wao ndo watapoteza na uharibifu mkubwa utatokea kwao, yaani kiufupi kwasasa USA ndio super power na ndo wana monotor dunia nzima, kiduku atachapwa na makombola yake ya kizamani anayofanyia majaribio.......makombora ya USA yanaweza kuigeuza Korea yote kuwa jangwa na kisiwepo kiumbe hai kwa miongo kadhaa,.......Marekani haishambuliwi bali inashambulia, ukiishambulia umejimaliza na kizazi chako!!!!!
Wakati wa Vietnam hakuwa superpower? Kule Mogadishu je? "Daudi na goliati" hapa zikipigwa tutajua nani ni nani.
 
Acha alikuambia vita itapgwa NK pkee ake nan? Au hukusikia mapank alchosema? "Risasi yoyote itakayoingia NK kutoka upande wa Marekan kutokea baharin au angan watajibu kwa kuisambaratsha marekan sehem zote muhim kwa kila aina ya mabomu"
Sawa if that's what u think
 
Aka kadogo bana mpaka mtu a kufwata kwako ujue anajuaminifu kudukumen ungetaka kushinda ungewafwata kwao uone almas ingegeuka maji
 
We jamaa kiazi kwelikweli tena kiazi kitamu.... eti kuna vita gani URUSI KAWAHI KUSHINDA .... KWANI MAREKANI KUNA VITA GANI KASHINDA !!!! URUSI KASHINDA NYINGI TU TENA NA WABABE WALIOCHAPA DUNIA ...KAMA HITLER KINA NOPELEON BONAPATRE.... wee endelea kudanganywa na muvi za kina kommando john
Nilitaka kukujibu ili nikusaidie ila niliposoma mara ya pili ulichoandika, nikaelewa nitabishana na mtu wa aina gani.....huwa sitoi muda wangu kabisa kuelimisha wato, ulichoandika kilitakiwa kuandikwa na mtu ambaye yuko junior/ordinary secondary school.....kama umevuka hapo na umefika advance, natamani kujua shule uliyosoma nsije nkapeleka mwanangu....too childish
 
Aka kadogo bana mpaka mtu a kufwata kwako ujue anajuaminifu kudukumen ungetaka kushinda ungewafwata kwao uone almas ingegeuka maji
tutaona mengi tu kama muvi la Van Dame na Shokoshugi au Leathal weapon Jet lii Kubwa la maadui stering anakuja anavamia anapigwa mpaka anakimbia.... marekani si ndio stering na ameshakuja aanze sasa .... hata vietnam alienda alivyorudi anajua mwenyewe kilichomtokea.... Triump mwenyewe kanyuti humu watu lepelepe mingiiii
 
Nilitaka kukujibu ili nikusaidie ila niliposoma mara ya pili ulichoandika, nikaelewa nitabishana na mtu wa aina gani.....huwa sitoi muda wangu kabisa kuelimisha wato, ulichoandika kilitakiwa kuandikwa na mtu ambaye yuko junior/ordinary secondary school.....kama umevuka hapo na umefika advance, natamani kujua shule uliyosoma nsije nkapeleka mwanangu....too childish
ukimaliza katawaze ukalale..... maana unakunya tu
 
Maamuzi ya vichwa viwili tu....yanataka kuuwa mamilioni ya vichwa na vizazi vijavyo! Ee Mola tunaomba utuepushe na janga hili lililoko mbele yetu......
NB; Tuache ushabiki usio na faida mimi na wewe hatujui hatma yetu,
Napenda dunia iwe na amani ila kuahirishwa vita ya US na NK najaribu kujishawishi ila bado najikataa natamani wapigane tu maana waniandaa kushuhudia kama vile kuna jeshi LA ushuhuda.

 
ukimaliza katawaze ukalale..... maana unakunya tu
Moderators nadhani mngeweka na jukwaaa la watoto, hizi lugha zinatia hasira na kinyaa kwakweli......ukosefu wa adabu na lugha za hivi sidhani kama mahali pake anyway, nimekusamehe bure tu, naweza kuwa mkubwa kuliko baba ako.....nimeamua kukusamehe tu!!!!!
 
Moderators nadhani mngeweka na jukwaaa la watoto, hizi lugha zinatia hasira na kinyaa kwakweli......ukosefu wa adabu na lugha za hivi sidhani kama mahali pake anyway, nimekusamehe bure tu, naweza kuwa mkubwa kuliko baba ako.....nimeamua kukusamehe tu!!!!!
Daaah kweli nadhani arudi kwao kule fb... lakini usiumize sana kichwa mkuu maana hata jina lake linaonesha mtu jinsi gani alivo....
 
Hiyo haipo Putin ni former KGB alishafanya ujasusi ndani ya USA hadi sasa kuna KGB agents ndani ya Marekani Pentagon na whitehouse, isitoshe hata sasa Marekani inakiri kuwa KGB waliingila Uchaguzi wa Marekani kumweka Trump hapo alipo hayo ni maneno ya kukiri ya CIA

Well said mkuu, kwa bahati mbaya ni members wachache watakao kuelewa - Wamerika wenyewe na vyombo vyao vya habari wanadai Trump si chaguo lao aliwekwa madarakani na vyombo vya kijasusi vya URUSI!! Mtu unabaki unajiuliza maswali mengi - hivi hili Taifa linalo jifanya ni mabingwa wa kila kitu including masuala ya mitandao ilikuwaje tena Urusi kufananikiwa ku-manipulate/doctor mashine zao za kuhesabia kura!! - Hii inaingia akili kweli?

Vinara wa tekinolojia wanashindwa kete na maadui wao - je, yakija masuala ya vita si ndio itakuwa balaa zaidi kwao - zana zao muhumi zitakuwa jammed electronically, watakosa mawasiliano, ICBMs navigation system zitakosa mwelekeo, Satellites za kusaidia kuongozea ndege makombora Meli na submarine nazo zitaharibiwa kabisa au kuwa disabled, wenzao wanajua satellite zote za kijeshi na za kawaida zipo kwenye slot gani kwenye orbit.

Ubabe ubabe na vitisho vya Wamerika ndiyo kumeyafanya Mataifa yanayo tishiwa lakini yenye uwezo mkubwa wa teknolojia za kijeshi kubuni mbinu za kuwatia adabu Wamerika wakianzisha vita, walifanya kazi usiku na mchana kuhunda silaha kali baada ya kuchoshwa na vitisho vya mara kwa mara kutoka kwa Uncle SAM - Baadhi ya Mataifa yanayo ji imarisha kijeshi ni China,Korea Kasikazini, India na Iran katika crusade yao sina shaka watashirikiana na Urusi - hivi sasa Wamerika wanapashwa kujirudi sana wajifunze kuheshimu Mataifa mengini kabla awajachelewa - likitokea la kutokea itasambaratishwa kweli kweli, they won't even know what HIT them.
 
Back
Top Bottom