Naambiwa nisubiri amuage jamaa yake nipewe Mchezo

Babavos

Member
Nov 3, 2019
62
117
Kama mwanamume nilijisikia vibaya ila kwa lile Traako no ilikuwa lazima nichape

Kuna demu alipata kazi za muda mkoa ninaofanya kazi sasa kuna siku natoka kazini nikapitia hapo ofisi yao uwa napita kusalimia kuna watu nafahamiana nao ko ilikuwa lazima nipite kutoa Hi kila siku

Kuna siku napita ndo nakuta kuna chombo mpya imeletwa aaaargh iko vizuri ina Traako oyaaa mwili umeumbika nikasalimia fresh nikaenda zangu geto

Siku ya pili nikafosi namba nikapewa nikaaanza kuimbisha weee ngoma ngumu nikakomaaa wee aah wapi mtoto ananizungusha tu Dah nikapoa kidogo sasa bwana kidg bint akaamishwa kituo cha kazi akapelekwa kituo kingine uzuri ilo eneo alio hamishiwa mi utawala yani kuna sub ordinate wetu uko wa taasisi yetu akanicheki akawa ananiaga alivotaja iko kijiji mi nikamwambia kule kuna watu naweza nikafanya maelekezo ukapokewa fresh demu akasema fresh niunge nao CHAP tu nikatoa maelekezo mambo yakaenda fresh

Sasa maisha mengine yakaendelea nikawa bado nachombeza chombeza demu akaanza kunielewa sasa kuna siku sina ili wala lile naona simu yake nikapokea pale mwisho wa maongezi ananiambia uje unitembeleee weekend tupike tule kifupi nimpe kampaniii aaaaargh nikasema moyoni DEAL DONE

Weekend ikafika nikatimba nikabeba vijizawadi pale nilifika usiku ni mbali kutoka nilipo demu akanipokea tukaenda mgahawani tukala kutoka hapo geto kwa demu sasa njiani akawa ananipanga sasa ooh mimi sijui sijajipanga na mtu wangu atapiga simu ko utulie niongee nae af mambo mengine yataendelea aaah mi nikamwambia haina shida usiwaze

Kufika geto kaniandalia maji nikaoga nikarudi nikatoa zawadi nikampatia tukawa tunapiga story mbili tatu kdg jamaa ake akapiga wakaanza kuongea pale mi niko bize na simu yangu tu nasikia yote jamaa ake anamwambia demu moja ya mzaz wake kapata shida yuko kwenye ambulance wanampeleka hosp Dah ka roho ka huruma kakaniingia ila nikikumbuka gharama nilizotumia nikasema hapana nachinja

Demu kakata simu akanirudia sasa mm hapo kavaa night dress tu chuchu zimesimama traako kama loote akanipa mgongo nikawa nime m hug kwa nyuma mikono yangu iko kwenye kifua chake ALOOOH

Akaanza kunihoji maswali ananiuliza
1. ww una mtu ?
2.nipe sbbu ya kumchiti mpenzi wangu maana yuko royal nikitaka hela ananipa nikimuhitaji anakuja?
3.Una kinga (sa tano usiku io) na nilikuwa sina

Hayo baadhi tu aliuliza meengi nikapangua yooote ila ilo la pili lilinichosha sana nikashindwa kuelewa wanawake wanataka nn HASWA jamaa ana majonzi yy anacheat hahaha

Nikajibu yote Bs bwana nikapewa nikapiga oyaa toka mwaka umeanza nimepiga k kadhaa ila ile iko vizuri very tight mtoto ana temptation kam zote nilii Enjoy kwa kweli

WANAWAKE SIO WAKUWAPA ZAMANA KABISA AISEE TUTAFUTE HELA SAAAANA UKIENDEKEZA MADEMU UNAKUFA MAPEEEMA TUNAKUZIKA NI HAYO TU WANANGU

UKIJA BILA GADI NAGAWA DOZI KWA IDADI NA WASTANI
 
Kakubarikia hongera, inshort wanawake usiwafuatilie sana we chakata pita vile,
 
Nakubali mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom