BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,768
- 23,189
Endelea kumnyima hela mkeo
Endelea hivyo hivyo usiache
Endelea hivyo hivyo usiache
Wanawake wengine wanatia huruma....sijui hata walidumbukiaje huko.....wife humpi na hata ukimpa lazima umsimange,maneno mazima hayo waungwana kutoka kwa mume wake mtu.
we mchoyo mpaka unatia kichefu chefu sasa pesa unayo unaibana ya nini? tupe tutumie watoto wazuri
Kwa kweli aisee loh sasa unabania pesa ili iweje? Raha ya pesa matumiziHahahahaha....miss chaga baby kwenye ubora wa hali ya juu najua amekuchefua hatari unatamani kutapika
Kwa kweli aisee loh sasa unabania pesa ili iweje? Raha ya pesa matumizi
Fanya hivyo utaona raha ya pesaMiss chaga baby ngoja nianze kupractise
Fanya hivyo utaona raha ya pesa
Usifanye hilo aisee ukiwa mtoaji utabarikiwa mnooo mnooo.
Hahahahahahahaha...miss chaga babyb mimi natoa sana mpaka mtaji hila nataka kupractise ubahili nione aiseee
Sasa hapo mke akipata mwanamme mwenzie akimpa atasema mwenye nyama nzuri ya ulimi atasema mke wangu Changu?Wanawake wengine wanatia huruma....sijui hata walidumbukiaje huko.....
Mbona mnabana mizigo yenu ..hamtoi ili mpate hiyo amaniYaani wewe sio mbahili ni MCHOYO , na hii ni roho jamani sio ya kujitukuza nayo
Kama mkeo nae unampa kwa masimango si sawa hayumkini hata ndugu zako pia ni kazi kuiona pesa yako
Kuna raha katika kutoa kuna amani ya roho unaipata pale unapojikuta umemsaidia mtu na hilo jambo lilikuwa ndani ya uwezo wako .