Mzunguko wangu wa siku za mwezi unanichanganya

ngoja siku nikipata mpenzi nitajaribu ila sijui kama nitaweza pipi napenda anifanye tu yaishe hayo ya kuwajibika ukute ten ni mkopo loh siwezi eti labda anifanyie shoping kwanza anipe mzuka na starter!
sasa na wewe unaenda bila kuwa umepata stater? Loh! unaenda tayari akili imetulia huna stress ukikaa juu ni wewe na kujiridhisha na yeye kumfanya kidido hai ha hahahaha wasinisikie nikisharidhika nalala kifo cha mende au mbuzi kagoma afanye fasta amalize hahaahahaha kwa heri
 
ukiwapiga mizinga hatua za awali wanasepa ! starter hawataki kutoa wakipewa chini ya kiwango wanalalamika sijui wanaume wanataka nini ndo maana mimi nimewashindwa bwana aaah !wewe unawafanyeje wanatoa starter?
 
unaacha kwenda hospitali unakuja kuanika mambo yako bila aibu ila pole uache kutumia dawa za uzazi wa mpango hazikufai au badili mfumo mwingine wa kujirinda na mimba
 
Aaaaaaah! Dada yangu Mambo mengine yanahitaji staha. Bado sisi waafrika. Mboma tukijaribu kufungua mikoba yenu mnatukemea kwamba tutakuta vitu visivyotuhusu hii huwa mnamaana gani. Staha/Heshima na maadili. Sio Vibaya mtu kufunguka mambo yao ya SIRI lakini tunamuangalia kwa jicho la tatu.
Humu JF wamo pia anda 17, asimwage mchele penye kuku wengi, hata na wale wasiostahili!
 
Naona ulikimbia umande wew yan tarehe 23 ya mwez huu mpk mwezi ujao ujui ni siku ngap esabu za usingizin kbs lol shame on you
 
Back
Top Bottom