Mzunguko wa hela mtaani umekuwa mdogo, hiyo kodi utakusanya kutoka wapi?

ila kiukweli mtaani maisha ni magumu mweh...
Sukari inauzwa kwa bei za matamko elekezi hapo mtaani kwenu?
Bei elekezi, 1800, 2000, 2250 na isizidi 2500. Kama mnaweza kununua sukari serikali itapata kodi hapo ili iwajengee viwanda hewa.
 
Nenda webpage ya Benki kuu ndipo utapojua kama mzunguko we fedha mtaani umeongezeka au umepungua tangu December mwaka Jana mpaka Leo.
kuna haja gani ya kwenda bank kuu huku hali halisi ya mtaani inajieleza fika.kuangalia report za B.O.T zinazoandaliwa kutokana na tamko la kisiasa ni bora usome gazeti
 
Hali ilishakuwa mbaya, walimu, madokta na na waliotarajia kuajiliwa toka mwezi 4 kwann hawaajiliwi
Kila kitu kina faida na hasira zake na ukweli huu utajidhihirisha katika utendaji wa serikali hii na hata katika bajeti iliyopitishwa leo.

Tunakoelekea serikali ndio itakuwa na hela huku wananchi wakiwa hawana kitu na hali hii teyari imeanza kujidhihirisha na hata mfanyabiasha Ahmed Shabiby ambae ni Mbunge wa Gairo kupitia CCM hivi karibuni alisema wazi Bungeni kuwa mtaani hali hivi sasa ni ngumu na akahoji nani asiejua ukweli.

Sasa najiuliza,serikali ikihodhi hela huku wananchi wake wakiwa hawana fedha ni nini kinafuata kama siyo kupunguza purchasing power ya wananchi hawa?

Purchasing power ya wananchi ikishuka bila shaka biashara nazo zitadorora,sasa biashsra zikidorora serikali itakusanya kodi kutoka wapi?

Kwa mfano,serikali inatarajia kukusanya kodi kutoka kwa wanywa bia huku tukitarajia bei ya bia kupanda kutokana na ongezeko la kodi.Sasa bia inapanda bei huku purchasing power ya mwananchi ikishuka,bia hii watamudu kuinunua wananchi wangapi?Mauzo ya bia yakishuka,kodi ya serikali itaongezeka au itapungua?

Purchasing power ya mwananchi ikishuka,huku juice,soda,sigara,n.k zikipanda bei baada ya kuongezewa kodi, mauzo ya bidhaa hizi yatashuka au yataongezeka?Mauzo yakishuka, mapato ya serikali, kwa maana ya kodi inayotokana na biashara hii, nayo siyatashuka?Yakishuka serikali haijaumia?

Mtumishi wa umma akikosa hela,mfanyabiashara bidhaa zake ataamuzia nani?Mfanyabiashara asipouza,serikali itapata wapi kodi?

Mfanyabiashara hana hela,mtumishi hana hela,nani anatutuma hela kwa mpesa,tigo pesa,n.k?Miamala ya mpesa,tigo pesa,n.k ikishuka, hayo makusanyo ya kodi mpya kutokana na tozo kwenye miamala hii itatoka wapi?

Mtumishi wa umma hana hela, mfanyabiashara biashara zimeyumba, watu hawa kwenye ATM watafuata nini?Safari za kwenda kwenye ATM zikipungua,kodi hiyo mpya ya transaction za ATM itatoka wapi?

Mfanyabiashara akiyumba,mtumishi akifulia,nani ataagiza gari kutoka nje ya nchi?uagizaji wa magari kutoka nje ukishuka,mapato ya kodi kutokana na uingizaji wa magari yatapanda au yatashuka?yakishuka,serikali ina faida au ina hasara?

Safari za watumishi wa umma za nje ya nchi zisizogharamiwa na serikali hazikuwa na faida kwa kuongeza mzunguko wa hela hapa nchini?

Kwa mfano,mtu akija na dola zake kutoka huko ughaibuni kwenye safari yake ya kikazi kisha akaamua kununua gari,tv,shamba,mifuko ya cement,n.k.Mtu huyo hajaongeza mzunguko wa hela?Mtu huyo hajachangia kodi ya serikali kupitia manunuzi haya?

Haya ni baadhi ya maswali ninayojiuliza na kama hatutachukua hatua mapema huku tukiwa hatuna hata viwanda,Bajeti hii iliyoongezeka kwa matrilioni huku tukitegemea ahadi za misaada na mikopo kutoka nchi wahisani,wahisani ambao wakati mwingine hawatimizi ahadi zao kwa wakati,Bajeti hii mwenzenu sijui.

NB:Msisahau kuwa serikali imepunguza PAYE kufikia single digit(hii si hela kidogo) ila ukweli ni kuwa hilo punguzu la PAYE haliwezi kuongeza purchasing power ya mtumishi wa umma kwa kiwango cha kuleta tofauti na kwa bahati nyongeza ya mishahara safari hii nyongeza ambayo ingeweza ku-boost PAYE kwa upande wa serikali nayo haijawekwa wazi.

Hatari nyingine kubwa ni swala la VAT kwenye utalii.Hili swala linaweza kutupunguzia watalii na kuikosesha serikali mapato kwani watalii wengi wanaweza kutukimbia hasa wale wenye uwezo wa kati na ambao ndio wengi kulinganisha na wale wa wachache wa daraja la kwanza.
 
Mnasema hata wafantakazi hawana hela kwani mishahara yao imepunguzwa???

Labda wafanyakazi wa Serikali ambao walikua wakiishi kwa njia zisizo halali...lakini kwa wale waliokua wakiishi kwa mshahara tu...sasahivi mambo yao poa tu.
njia zisizo halali kivipi?? mfano watumishi wengi nje ya mshahara walikuwa wanapewa fedha ya masaa ya ziada unakuta ktk mwezi unapata hata laki 2 ukijumlisha na ka mshahara kako let say laki 5 unakuwa na 700.sasa hizo hela zote hamna bado vitu vimepanda bei ww unategemea huyo mtumishi ataishi vp???
 
Uko sawa ila hapo huyo mtalii asiyetaka kulipa kodi aende tu.
Pia bia imepanda bei umechemka acha ipande tupunguze ulevi.
 
k

kuna haja gani ya kwenda bank kuu huku hali halisi ya mtaani inajieleza fika.kuangalia report za B.O.T zinazoandaliwa kutokana na tamko la kisiasa ni bora usome gazeti
Mimi mbona nipo sawa? Marafiki zangu wengi wapo sawa vilevile na biashara zinaendelea .... Kama umezoea kuoiga dili lazima ile kwako.
Watu halal wapo kawaida tu.
 
bajeti ikianza kutekelezwa ndipo ujaji,maana ndipo miradi inapoanza kutekelezwa na ndipo serikali inaingiza pesa nyingi kwenye mzunguko kupitia miradi iliyo ainishwa kwenye bajeti yake.........

Ni kweli kwasababu miradi inakuwa na matumizi ya pesa.
 
Mbwembwe zikizidi ni aibu zitafuata . Wacha waisome digits.
 
Kila kitu kina faida na hasira zake na ukweli huu utajidhihirisha katika utendaji wa serikali hii na hata katika bajeti iliyopitishwa leo.

Tunakoelekea serikali ndio itakuwa na hela huku wananchi wakiwa hawana kitu na hali hii teyari imeanza kujidhihirisha na hata mfanyabiasha Ahmed Shabiby ambae ni Mbunge wa Gairo kupitia CCM hivi karibuni alisema wazi Bungeni kuwa mtaani hali hivi sasa ni ngumu na akahoji nani asiejua ukweli.

Sasa najiuliza,serikali ikihodhi hela huku wananchi wake wakiwa hawana fedha ni nini kinafuata kama siyo kupunguza purchasing power ya wananchi hawa?

Purchasing power ya wananchi ikishuka bila shaka biashara nazo zitadorora,sasa biashsra zikidorora serikali itakusanya kodi kutoka wapi?

Kwa mfano,serikali inatarajia kukusanya kodi kutoka kwa wanywa bia huku tukitarajia bei ya bia kupanda kutokana na ongezeko la kodi.Sasa bia inapanda bei huku purchasing power ya mwananchi ikishuka,bia hii watamudu kuinunua wananchi wangapi?Mauzo ya bia yakishuka,kodi ya serikali itaongezeka au itapungua?

Purchasing power ya mwananchi ikishuka,huku juice,soda,sigara,n.k zikipanda bei baada ya kuongezewa kodi, mauzo ya bidhaa hizi yatashuka au yataongezeka?Mauzo yakishuka, mapato ya serikali, kwa maana ya kodi inayotokana na biashara hii, nayo siyatashuka?Yakishuka serikali haijaumia?

Mtumishi wa umma akikosa hela,mfanyabiashara bidhaa zake ataamuzia nani?Mfanyabiashara asipouza,serikali itapata wapi kodi?

Mfanyabiashara hana hela,mtumishi hana hela,nani anatutuma hela kwa mpesa,tigo pesa,n.k?Miamala ya mpesa,tigo pesa,n.k ikishuka, hayo makusanyo ya kodi mpya kutokana na tozo kwenye miamala hii itatoka wapi?

Mtumishi wa umma hana hela, mfanyabiashara biashara zimeyumba, watu hawa kwenye ATM watafuata nini?Safari za kwenda kwenye ATM zikipungua,kodi hiyo mpya ya transaction za ATM itatoka wapi?

Mfanyabiashara akiyumba,mtumishi akifulia,nani ataagiza gari kutoka nje ya nchi?uagizaji wa magari kutoka nje ukishuka,mapato ya kodi kutokana na uingizaji wa magari yatapanda au yatashuka?yakishuka,serikali ina faida au ina hasara?

Safari za watumishi wa umma za nje ya nchi zisizogharamiwa na serikali hazikuwa na faida kwa kuongeza mzunguko wa hela hapa nchini?

Kwa mfano,mtu akija na dola zake kutoka huko ughaibuni kwenye safari yake ya kikazi kisha akaamua kununua gari,tv,shamba,mifuko ya cement,n.k.Mtu huyo hajaongeza mzunguko wa hela?Mtu huyo hajachangia kodi ya serikali kupitia manunuzi haya?

Haya ni baadhi ya maswali ninayojiuliza na kama hatutachukua hatua mapema huku tukiwa hatuna hata viwanda,Bajeti hii iliyoongezeka kwa matrilioni huku tukitegemea ahadi za misaada na mikopo kutoka nchi wahisani,wahisani ambao wakati mwingine hawatimizi ahadi zao kwa wakati,Bajeti hii mwenzenu sijui.

NB:Msisahau kuwa serikali imepunguza PAYE kufikia single digit(hii si hela kidogo) ila ukweli ni kuwa hilo punguzu la PAYE haliwezi kuongeza purchasing power ya mtumishi wa umma kwa kiwango cha kuleta tofauti na kwa bahati nyongeza ya mishahara safari hii nyongeza ambayo ingeweza ku-boost PAYE kwa upande wa serikali nayo haijawekwa wazi.

Hatari nyingine kubwa ni swala la VAT kwenye utalii.Hili swala linaweza kutupunguzia watalii na kuikosesha serikali mapato kwani watalii wengi wanaweza kutukimbia hasa wale wenye uwezo wa kati na ambao ndio wengi kulinganisha na wale wa wachache wa daraja la kwanza.
mkuu mimi nimekuelewa vizuri natumaini hata wengine wamekuelewa pia.
achana na hao wacheza bao wa Lumumba wanaokukejeli huku mifuko imetoboka.
 
Mpango ana panga kama ilivyo kwenye vitabu .bila kujali utekelezaji.kwahiyo tusubirie bahati itendeke hii bajeti ndio ifanikiwe.kwani ilivyokuwa hali halisi ni purchasing power ilitokana na fedha za rushwa ndogo na kubwa ,manunuzi hewa na manunuzi ya umma ten%,wafanyakazi hewa,ukwepaji kodi bandarini na kwa wafanya biashara,simu feki,madawa feki,bidha feki.magendo.ujangili.miradi hewa,rushwa hospitalini .mahakamani.michango ya wazazi mashuleni,na kadhalika.

maeneo haya ndio yalikuwa yanachangia asilimia zaidi ya 40.katika uwezo Wa kununua magari.kujenga nyumba.kuanzisha biashara na ata mashamba ya kilimo na ufugaji,na mfano mtoto Wa mkulima alivyo pata ten % yake akaanzisha ufugaji nyuki.na mkulu wake aliye anzisha ufugaji kuku na ngombe.kwa maana halisi hii.

kwakufanikiwa kufunga uhalifu huu.akutakuwepo na unywaji bia kiwango cha juu.ujenzi Wa nyumba,ununuzi Wa magari kwa kiwango cha juu.uhongaji wanawake kwa kiwango cha kufungua biashara.matumizi ya magari kwa maana ya kupungua uwezo Wa kununua mafuta ,safari zisizo za lazima.mfano Wa watumishi wote Wa wizara kwenda na basi moja bungeni.na kadhalika .kwa hali hii ni wazi ukusanyaji kodi utashuka sana.haidhuru tuombe Mungu uende labda ikafanikiwa,kwani atuna anaeweza thubutu kushauri vinginevyo.kutokana na aina ya serikali hii.bulldozing everything's
 
Mpango ana panga kama ilivyo kwenye vitabu .bila kujali utekelezaji.kwahiyo tusubirie bahati itendeke hii bajeti ndio ifanikiwe.kwani ilivyokuwa hali halisi ni purchasing power ilitokana na fedha za rushwa ndogo na kubwa ,manunuzi hewa na manunuzi ya umma ten%,wafanyakazi hewa,ukwepaji kodi bandarini na kwa wafanya biashara,simu feki,madawa feki,bidha feki.magendo.ujangili.miradi hewa,rushwa hospitalini .mahakamani.michango ya wazazi mashuleni,na kadhalika.maeneo haya ndio yalikuwa yanachangia asilimia zaidi ya 40.katika uwezo Wa kununua magari.kujenga nyumba.kuanzisha biashara na ata mashamba ya kilimo na ufugaji,na mfano mtoto Wa mkulima alivyo pata ten % yake akaanzisha ufugaji nyuki.na mkulu wake aliye anzisha ufugaji kuku na ngombe.kwa maana halisi hii.kwakufanikiwa kufunga uhalifu huu.akutakuwepo na unywaji bia kiwango cha juu.ujenzi Wa nyumba,ununuzi Wa magari kwa kiwango cha juu.uhongaji wanawake kwa kiwango cha kufungua biashara.matumizi ya magari kwa maana ya kupungua uwezo Wa kununua mafuta ,safari zisizo za lazima.mfano Wa watumishi wote Wa wizara kwenda na basi moja bungeni.na kadhalika .kwa hali hii ni wazi ukusanyaji kodi utashuka sana.haidhuru tuombe Mungu uende labda ikafanikiwa,kwani atuna anaeweza thubutu kushauri vinginevyo.kutokana na aina ya serikali hii.bulldozing everything's
Asante sana kwa mchango wako.Umelenga mule mule.Time will tell.
 
Kila kitu kina faida na hasira zake na ukweli huu utajidhihirisha katika utendaji wa serikali hii na hata katika bajeti iliyopitishwa leo.

Tunakoelekea serikali ndio itakuwa na hela huku wananchi wakiwa hawana kitu na hali hii teyari imeanza kujidhihirisha na hata mfanyabiasha Ahmed Shabiby ambae ni Mbunge wa Gairo kupitia CCM hivi karibuni alisema wazi Bungeni kuwa mtaani hali hivi sasa ni ngumu na akahoji nani asiejua ukweli.

Sasa najiuliza,serikali ikihodhi hela huku wananchi wake wakiwa hawana fedha ni nini kinafuata kama siyo kupunguza purchasing power ya wananchi hawa?

Purchasing power ya wananchi ikishuka bila shaka biashara nazo zitadorora,sasa biashsra zikidorora serikali itakusanya kodi kutoka wapi?

Kwa mfano,serikali inatarajia kukusanya kodi kutoka kwa wanywa bia huku tukitarajia bei ya bia kupanda kutokana na ongezeko la kodi.Sasa bia inapanda bei huku purchasing power ya mwananchi ikishuka,bia hii watamudu kuinunua wananchi wangapi?Mauzo ya bia yakishuka,kodi ya serikali itaongezeka au itapungua?

Purchasing power ya mwananchi ikishuka,huku juice,soda,sigara,n.k zikipanda bei baada ya kuongezewa kodi, mauzo ya bidhaa hizi yatashuka au yataongezeka?Mauzo yakishuka, mapato ya serikali, kwa maana ya kodi inayotokana na biashara hii, nayo siyatashuka?Yakishuka serikali haijaumia?

Mtumishi wa umma akikosa hela,mfanyabiashara bidhaa zake ataamuzia nani?Mfanyabiashara asipouza,serikali itapata wapi kodi?

Mfanyabiashara hana hela,mtumishi hana hela,nani atatutuma hela kwa mpesa,tigo pesa,n.k?Miamala hii ya mpesa,tigo pesa,n.k ikishuka, hayo makusanyo ya kodi mpya kutokana na tozo kwenye miamala hii itatoka wapi?

Mtumishi wa umma hana hela, mfanyabiashara biashara zimeyumba, watu hawa kwenye ATM watafuata nini?Safari za kwenda kwenye ATM zikipungua,kodi hiyo mpya ya transaction za ATM itatoka wapi?

Mfanyabiashara akiyumba,mtumishi akifulia,nani ataagiza gari kutoka nje ya nchi?uagizaji wa magari kutoka nje ukishuka,mapato ya kodi kutokana na uingizaji wa magari yatapanda au yatashuka?yakishuka,serikali ina faida au ina hasara?

Safari za watumishi wa umma za nje ya nchi zisizogharamiwa na serikali hazikuwa na faida kwa kuongeza mzunguko wa hela hapa nchini?

Kwa mfano,mtu akija na dola zake kutoka huko ughaibuni kwenye safari yake ya kikazi kisha akaamua kununua gari,tv,shamba,mifuko ya cement,n.k.Mtu huyo hajaongeza mzunguko wa hela?Mtu huyo hajachangia kodi ya serikali kupitia manunuzi haya?

Haya ni baadhi ya maswali ninayojiuliza na kama hatutachukua hatua mapema huku tukiwa hatuna hata viwanda,Bajeti hii iliyoongezeka kwa matrilioni huku tukitegemea ahadi za misaada na mikopo kutoka nchi wahisani,wahisani ambao wakati mwingine hawatimizi ahadi zao kwa wakati,Bajeti hii mwenzenu sijui.

NB:Msisahau kuwa serikali imepunguza PAYE kufikia single digit(hii si hela kidogo) ila ukweli ni kuwa hilo punguzu la PAYE haliwezi kuongeza purchasing power ya mtumishi wa umma kwa kiwango cha kuleta tofauti na kwa bahati mbaya nyongeza ya mishahara safari hii nyongeza ambayo ingeweza ku-boost PAYE kwa upande wa serikali nayo haieleweki.

Hatari nyingine kubwa ni swala la VAT kwenye utalii.Hili swala linaweza kutupunguzia watalii na kuikosesha serikali mapato kwani watalii wengi wanaweza kutukimbia hasa wale wenye uwezo wa kati na ambao ndio wengi kulinganisha na wale wa wachache wa daraja la kwanza.

Kama muda wote unakesha na kulala JF na ufipa bila kufanya kazi hutauona mzunguko
 
Mpango ana panga kama ilivyo kwenye vitabu .bila kujali utekelezaji.kwahiyo tusubirie bahati itendeke hii bajeti ndio ifanikiwe.kwani ilivyokuwa hali halisi ni purchasing power ilitokana na fedha za rushwa ndogo na kubwa ,manunuzi hewa na manunuzi ya umma ten%,wafanyakazi hewa,ukwepaji kodi bandarini na kwa wafanya biashara,simu feki,madawa feki,bidha feki.magendo.ujangili.miradi hewa,rushwa hospitalini .mahakamani.michango ya wazazi mashuleni,na kadhalika.maeneo haya ndio yalikuwa yanachangia asilimia zaidi ya 40.katika uwezo Wa kununua magari.kujenga nyumba.kuanzisha biashara na ata mashamba ya kilimo na ufugaji,na mfano mtoto Wa mkulima alivyo pata ten % yake akaanzisha ufugaji nyuki.na mkulu wake aliye anzisha ufugaji kuku na ngombe.kwa maana halisi hii.kwakufanikiwa kufunga uhalifu huu.akutakuwepo na unywaji bia kiwango cha juu.ujenzi Wa nyumba,ununuzi Wa magari kwa kiwango cha juu.uhongaji wanawake kwa kiwango cha kufungua biashara.matumizi ya magari kwa maana ya kupungua uwezo Wa kununua mafuta ,safari zisizo za lazima.mfano Wa watumishi wote Wa wizara kwenda na basi moja bungeni.na kadhalika .kwa hali hii ni wazi ukusanyaji kodi utashuka sana.haidhuru tuombe Mungu uende labda ikafanikiwa,kwani atuna anaeweza thubutu kushauri vinginevyo.kutokana na aina ya serikali hii.bulldozing everything's
Ibambasi soma ufafanuzi huu naona ndio utakusaidia kuelewa ninachokisema.
 
Back
Top Bottom