Mzungu ana nini cha ziada?

Jindal Singh

JF-Expert Member
Sep 9, 2015
1,857
1,538
Salaam..

Wadau naomba kuuliza hivi mtu mweupe ususani mzungu, ananini cha zaida mpaka sisi ma Negro tunafikia kuleta misemo ya ajabu ajabu.

1. Bora kuzaliwa mbwa ulaya.
2. mzungu hazoei njaa.
3. mzungu ukitoa 'z' unapata Mungu.
4. Ulaya hakuna masikini.
5. Ahadi ya kizungu.

Na wengine inafika kipindi mpaka wanasema mzungu akija Afrika hapimi ukimwi lakini waafrika hupimwa maradhi yote, hili mimi siliafiki.
 
Ukiwachunguza vzr wana masikio makubwa kuliko viumbe wengine wenye rangi tofauti na wao kama hauamini fungua TV yako angalia.
 
Last edited:
Mzungu ndiye binadamu halisi

Wa asia vichwa maji

wa afrika tunaongeza idadi tu duniani

Hebu fikiria bila wazungu kingegunduliwa nini ?
Kabla ya Hawa makatili (wazungu) kuja afrika, sayansi ya afrika ilikua juu sana gunduzi mbalimbali ziliendelea, fikiria pyramids zilivyojengwa, uhunzi mbalimbali, ugunduzi wa kalenda, Viwanda vya chuma..... Kuna mambo mengi yanafichwa kwenye historia... Kama mnavyomficha joh okello...

OPEN YOUR MIND.
 
wana IQ kubwa zaidi na ndo maana wameendelea kitechnology, economically n socially
 
kwa hiyo tumegundua nini cha maana wao wakaficha ?
magari ?
ndege ?
au nini ?

Acha ujinga wa kuamini kwamba kuna historia imefichwa

wazungu wanakimbia sisi waafrika tunatambaa
 
kwa hiyo tumegundua nini cha maana wao wakaficha ?
magari ?
ndege ?
au nini ?

Acha ujinga wa kuamini kwamba kuna historia imefichwa

wazungu wanakimbia sisi waafrika tunatambaa
Sayansi inakua kuendana na muda naamini kwa sayansi tuliyokua nayo na tusingeingiliwa leo hii tungekua mbali kwa namna yetu....

Wazungu waliharibu sayansi yetu.
 
Sisi weusi ni mashetani angalia hata viongozi wetu ni mashetani kweli we fikiria tu tuna rasimali kibao lakin hazitunufaishi,tunategemea misaada kuna liraisi lililopita liliulizwa kwanini nchi yako maskini na ina rasilimali nyingi likasema halijui
Bora tungewaacha wakoloni wakatutengenezea miji,sie hovyo sana hata akili zetu zinaweza kufanya mambo mepesi mepesi tu aaarghhhhhhhhhhhh
 
Sayansi inakua kuendana na muda naamini kwa sayansi tuliyokua nayo na tusingeingiliwa leo hii tungekua mbali kwa namna yetu....

Wazungu waliharibu sayansi yetu.
bora walivyoiharibu hapa kwenyewe sayansi yetu inatupeleka mbio ingekua original version ingekua hatari sheria ingekua haifanyi kazi

Bravo wazungu
 
Dunia ndiyo inaaminishwa hivyo kwamba mzungu ndiyo bora zaidi.

Ni sawa na mtoto/watoto wanavyoaminishwa kwamba baba ndiyo kila kitu, hajawahi feli, hakosei, mwenye nguvu kuliko wote...
 
Sayansi inakua kuendana na muda naamini kwa sayansi tuliyokua nayo na tusingeingiliwa leo hii tungekua mbali kwa namna yetu....

Wazungu waliharibu sayansi yetu.
Kwanini hatukuanza kuwaingilia wao hadi waje kutuingilia sisi na tukakubali,je unafikiri tungeenda kuwaingilia kama walivyofanya huku Africa wangekubali?
Kitende cha wao kuja huku ni kutuzidi akili na kututawala pia inaonesha wametuzidi akili mbali tu.
 
mtu anatumia simu ya mzungu, intaneti ya mzungu, umeme wa mzungu, gari ya mzungu, mafuta yaliyo fanyiwa process na mzungu, lami, nguo alizovaa n.k zote mzungu anahusika hapo alafu anakuja kuleta maswali ya kipuuzi kama haya, labda angeuliza wa africa tufanyeje ili angalau utegemezi wetu kwa wazungu upungue ningemuona wa maana
 
Refer S.Africa,wasingekuwa hao ma-boars sijui,nao wangekuwa kama sisi tu.
 
Refer S.Africa,wasingekuwa hao ma-boars sijui,nao wangekuwa kama sisi tu.
aisee mimi naona tungewazidi, wa south africa ni vilaza balaa acha, eti wanatimua wageni kisa wamenyang'anywa ajira, halafu ukiangalia ki jiografia kadri unavyozidi kwenda kusini mwa dunia watu wa asili wa hizo sehemu ndio wanaongezeka kwa uzezeta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…