conductor
JF-Expert Member
- May 29, 2013
- 798
- 660
Staff na alumni wenzangu hili vipi? Tutumie nyenzo ipi kueleweka?
Kwanini basi VCs kwenye vyuo hawalalamiki hali ya vyuo vya serikali sasa hivi?! Acha niongelee chuo kinachonihusu. Mzumbe University. Mwalimu anapewa kazi ya kwenda ku assess wanafunzi field, ratiba ikimtaka kuwa eneo la tukio mwezi wa December. Ila chuo kinashindwa mlipa mwalimu kufanya huo mzunguko na hatimae mwalimu kushindwa kwenda na mwanafunzi kushindwa kupata haki yake ya kutembelewa.
Je, ni serikali imeshindwa leta pesa vyuoni? Je ni wanafunzi wameanza kusoma bure? Hawalipi?
Swala la pili. Mwalimu anasimamia wanafunzi 20 research zao kwa kipindi cha semester nzima na kuhakikisha wanafikia malengo yao. Mwalimu huyo halipwi stahiki ya usimamizi huo. VC anaangalia hasemi neno, anachosisitiza ni quality, quality itatoka wapi kwa aina hii ya treatment.
Sasa tumechoka na tuna maswali. Kuna nini vyuoni nikisisitiza Mzumbe University to be specific.
Wasimamia vyuo haswa TCU nendeni Mzumbe makao makuu na waulizeni tatizo liko wapi. Hii imejirudia mfulilizo kwa miaka mitano. Tukiendelea kuwa wakweli, wakubwa wa hivi vyuo au tuseme Mzumbe hawana tofauti na mawaziri, wanazurura tu na V8 za serikali kupita campuses kuangalia quality huku hawalipi walimu stahiki zao.
Tunahitaji solution.