Mzinzi anasua tego kwa kutumia 'Jina la Yesu'.

Hakika jina la yesu ni la ajabu sana.
1.Limetufanya bilioni ya watu kutokumuamini ni mwokozi,anashindwaje kutufanya tumuamini??? (wakati anaitwa mungu muumba vyote)
2.limewafanya hata wafuasi wake waganyike wengine wanaamini uwepo wa xmass na wengine hawaamini.
3.Limewafanya madhehebu mengine kuamini pombe ni halali na wengine kusema pombe si halali.Hakika jina la yesu ni la ajabu sana tena sana imefikia hatua baadhi ya madhehebu kuhalalisha ndoa za jinsia moja kama hiyo haitoshi wanawaruhusu hadi Mashoga kuwa maaskofu,hakika jina la yesu linaendelea kutenda miujiza haya tuseme kwa pamoja amin.
 
Back
Top Bottom