Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,073
Sasa atawakimbia mpaka lini mkuu maana miaka mitano ni mingi sanaKingereza chenyewe cha "aiemu politishani aiemu veri machi wedsi" kwa nini asiwakimbie? si unaona hata mikutano ya kimataifa haendi...