Mzimbabwe Maxwell Chikumbutso ameunda gari inayoendeshwa kwa nguvu za mawimbi ya radio

View: https://youtu.be/UTLrEFErVaw
Raisi was Zimbabwe Emmerson Mnangagwa amempongeza Mzimbambwe Maxwell Chikumbutso kwa uvumbuzi wa gari “Saith Vehicle” inayoendeshwa kwa nguvu za mawimbi ya radio( radi waves).
Hii ni gari ya kwanza duniani kuwa pawa na mawimbi ya radio peke yake.
Maxwell amedai ametengeneza chombo ambacho kinaitwa “Microsonic energy device”kinachogeuza mawimbi ya radio kuwa umeme.
Pia amedai gari hiyo inaweza kutoko 0 mpaka 100km/h ndani ya sekunde mbili.

Soma zaidi hapa: Move Over, Elon Musk: Zimbabwean Inventor Unveils Game-Changing Car That Runs on Radio Wave

View: https://youtu.be/UTLrEFErVaw
Raisi was Zimbabwe Emmerson Mnangagwa amempongeza Mzimbambwe Maxwell Chikumbutso kwa uvumbuzi wa gari “Saith Vehicle” inayoendeshwa kwa nguvu za mawimbi ya radio( radi waves).
Hii ni gari ya kwanza duniani kuwa pawa na mawimbi ya radio peke yake.
Maxwell amedai ametengeneza chombo ambacho kinaitwa “Microsonic energy device”kinachogeuza mawimbi ya radio kuwa umeme.
Pia amedai gari hiyo inaweza kutoko 0 mpaka 100km/h ndani ya sekunde mbili.

Soma zaidi hapa: Move Over, Elon Musk: Zimbabwean Inventor Unveils Game-Changing Car That Runs on Radio Waves

Huyu jamaa ni hazina ya Afrika
Anahitaji ulinzi
 
Chikumbutsu husema tekinolojia yake inatumia usumaku-umeme wa mawimbi radio...

Maarifa halisi ya utundu wa tekinolojia yake ya uvunaji wa umeme kutoka kwenye 'utupu' ni 'siri'; japo kwa sasa inaweza kuwa hivi kwa sababu za wazi: USALAMA WAKE BINAFSI.

Siku za mbele, hapa hapa Tanzania na tena basi Afrika, tutakuwa na maendeleo makubwa katika maarifa ya nyanja na ugani wa sayansi ya umeme... Wala usihadaike na kiingereza cha Transista, rektifaya za silikoni, MOSFETI, Sakiti Vibanzi Jumuifu ndogo ama kubwa... Haya bado ni mambo ya pembezoni mwa 'ujuaji' wa mambo...

Labda bado haujaoneshwa ni namna gani hata sayansi ya umeme >imedumazwa< kwa makusudi... Dhana za 'volti', 'ampia' na 'ukinzani' ni >kujua mambo ya nishati ya umeme kwa sehemu<...

Maxwell Chikumbutsu wa Zimbabwe anachokisa<... Usomi wa 'kikasuku' ni ushamba taslim; ni 'mzigo'. Sisi watu wa Afrika leo hii, wengi wetu, tuna adha ya >'Akili ya Kimaskini'<. Hii inatuacha na haiba ya kujibeza, kujikataa, kujiona hatutoshi na tumepungukiwa... Huu ni >'udunya'< wa kujitakia... Mtu hauwi 'akilikubwa' kwa sababu unaongea, kuimba, kuzuga kama 'mzungu'; mzungu naye ni mtu, tena katika jamii ya wazungu kuna >'wahuni' wenye ufundi wa michezo na hadaa za 'kula na vipofu'<...
Kiukweli khasa wa mambo, utundu huu wa kugema umeme kwa sakiti za usanifu maalum--sakiti maalum za kiuelektronishi ni uwezekano; ni kitu ambacho kimefanywa 'daraja siri' kwa kuwa mapelekeo yake kwa 'statusi kwou' ni yenye kutikisa khasa mifumo ya uchumi-siasa-tawala Duniani kote.

Ikiwa jambo la Chikumbutsu litafaulu, kurasmisha tekinolojia ya Umeme kutoka kwenye Utupu, Serikali ya Zimbambwe itakuwa imejipanga na kujiandaa na 'figisu' za 'vibopa' wa 'Fedha/Misaada/Tasnia ya Viwanda/jeshi'--Kiintelijensia na Mikakati; ama hiyo nchi ya Afrika imepata 'Kibali' cha 'Wazee' wa 'Dunia ya Mungu, Vitu vya Mzungu'...

Tekinolojia za kimapinduzi zipo; lakini haitakuwa rahisi hizi kurasmishwa kwa kuwa 'zinaweza kutibua kila kitu' katika mifumo ya fedha hapa Duniani. Wazee wa 'Dunia ya Mungu, Vitu vya Mzungu' wapo tayari hata kudhamini mikutano ya kimataifa na kutoa/kuahidi 'midolali' ili mradi tu 'Jumuiya ya Kimataifa inachezeshwa Sikinde Ngoma ya Ukae'....

Tukiwa sisi ni miongoni mwa mataifa tunayopofushwa na 'Fedha/Ruzuku/Mitaji/Uwekezaji' na mapana yote ya mataraji ya Kibepari, hatuwezi 'kupindua meza' kwa kuwa Viongozi na Watendaji katika taasisi zetu primu wanapumbazwa ama kupelekwa puta na mataraji ya 'upatikanaji wa fedha' ama 'Misaada' ya namna hii ama ile...

Hili linatutaka sana sisi kupangana kimya kimya kuhusu maendeleo yetu na mustakabli wetu kijamii, maendeleo na ustawi wetu. Inashangaza kuona khabari za Chikumbutsu zinafungamana na 'Wachina' kuingia kwenye ukuzaji na uendelezaji wa tekinolojia za utengenezaji wa vyombo vya uchukuzi, ni jambo linalofaulu kuwekwa kwenye 'Kisomo' na wadau wa uono na ufikirifu mifumo...

Nchi zote zilizoendelea, wanayomashirika na wadau wenye hizi tekinolojia na suluhu; lakini wanajikausha kimikakati....

Hmmm​
 
View: https://youtu.be/UTLrEFErVaw
Raisi was Zimbabwe Emmerson Mnangagwa amempongeza Mzimbambwe Maxwell Chikumbutso kwa uvumbuzi wa gari “Saith Vehicle” inayoendeshwa kwa nguvu za mawimbi ya radio( radi waves).
Hii ni gari ya kwanza duniani kuwa pawa na mawimbi ya radio peke yake.
Maxwell amedai ametengeneza chombo ambacho kinaitwa “Microsonic energy device”kinachogeuza mawimbi ya radio kuwa umeme.
Pia amedai gari hiyo inaweza kutoko 0 mpaka 100km/h ndani ya sekunde mbili.

Soma zaidi hapa: Move Over, Elon Musk: Zimbabwean Inventor Unveils Game-Changing Car That Runs on Radio Waves

Hasko kababu ndio marketing manager? 😂 😂 😂 😂 😂
 
Huyu jamaa kaamua kudefy physics live and direct
 
Sisi UCHAWA unatosha.
 
Bingwa hebu tuelezee hii teknolojia inafanyaje kazi kwa kimatumbi tuelewe maana hio lugha hata raisi wake hajamuelewa.....
Ni mwendo wa kamba to kamba unachukua uchawi gizani unauleta mwangani, pale ambapo umesema rais hajamwelewa ndio ametamka hivyo sasa hivyo teknolojia ya uchawi inafanyika waziwazi

Kesho kuna mwingine atasema anatengeza gari linalotumia umeme wa upepo, sikua naamini km kuna mtu anaweza akawekewa sahani 2 moja ikajazwa misumali na nyingine ikajazwa viwembe kisha akaanza kutafuna km anakula ugali na mboga na akamaliza misumali na viwembe

Hujanielewa uliza
 
Imeniacha na maswali:
1) Radio waves carry low energy. How can you harness this low energy to power a 1405 kg car?

2)Bugatti Chiron Super Sport is equipped with a V8 engine with four turbines that deliver up to 1600 hp, allowing the car to accelerate to a hundred in about 2.6 seconds. How does a car with a 380 torque motor achieve 0 to 100 km/h in 2 seconds?
Inaonekana unabisha right,unafikiri Rais kwenda kumpongeza hajaona majaabu hayo
 
Ni mwendo wa kamba to kamba unachukua uchawi gizani unauleta mwangani, pale ambapo umesema rais hajamwelewa ndio ametamka hivyo sasa hivyo teknolojia ya uchawi inafanyika waziwazi

Kesho kuna mwingine atasema anatengeza gari linalotumia umeme wa upepo, sikua naamini km kuna mtu anaweza akawekewa sahani 2 moja ikajazwa misumali na nyingine ikajazwa viwembe kisha akaanza kutafuna km anakula ugali na mboga na akamaliza misumali na viwembe

Hujanielewa uliza
🤣🤣🤣🤣
 
Bado naendelea kucheka kila sentensi 😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom