Nunua Toka UK
JF-Expert Member
- Apr 17, 2023
- 262
- 538
View: https://youtu.be/UTLrEFErVaw
Raisi was Zimbabwe Emmerson Mnangagwa amempongeza Mzimbambwe Maxwell Chikumbutso kwa uvumbuzi wa gari “Saith Vehicle” inayoendeshwa kwa nguvu za mawimbi ya radio( radi waves).
Hii ni gari ya kwanza duniani kuwa pawa na mawimbi ya radio peke yake.
Maxwell amedai ametengeneza chombo ambacho kinaitwa “Microsonic energy device”kinachogeuza mawimbi ya radio kuwa umeme.
Pia amedai gari hiyo inaweza kutoko 0 mpaka 100km/h ndani ya sekunde mbili.
Soma zaidi hapa: Move Over, Elon Musk: Zimbabwean Inventor Unveils Game-Changing Car That Runs on Radio Waves