Mzee wa Upako awaonya Alikiba na Diamond Platnumz waache Uzinzi...

Mzee wa upako, lusekele anaenda na wakati...

Ingawa ni mchungaji lakini hataki kuishi zama za ya Yuda...

Anatumikia vyote, dunia na mbinguni...

Cc: mahondaw
 
Ila Bujibuji huyu kakako anapenda drama jaman

Leo anawaambia akina Kiba na Mondi kuwa waache Uzinzi, Sio wanazaa zaa tu ovyo na wanawake

Alafu anasema anampenda sana yule dada Aliyeimba wimbo wa Rarua Rarua. .. sasa sijui anataka amrarue huyo mama au alipendezwa na mauno ya kwenye video ya Rarua

Alafu anaskiza sana Bongo Fleva kwasababu yeye anaishi Duniani Sio Mbinguni

Ila huyu baba ni bazazi jaman, kapiga Gold Chain kuuubwa shingoni. .. embu walokole mliopo huku mtusaidie Yesu alivaaga Gold Chain kweli au?

Ndoroooboe ngoja nikanunue gazeti nijipepeee

Habari kamili kwenye video

Halafu mkewe mpole jamani, mwanaume ndio huyo hadi nyagi anagonga
 
Back
Top Bottom