Mzee wa Upako awaonya Alikiba na Diamond Platnumz waache Uzinzi...

Money Penny

JF-Expert Member
Jun 20, 2016
17,610
17,052
Ila Bujibuji huyu kakako anapenda drama jaman

Leo anawaambia akina Kiba na Mondi kuwa waache Uzinzi, Sio wanazaa zaa tu ovyo na wanawake

Alafu anasema anampenda sana yule dada Aliyeimba wimbo wa Rarua Rarua. .. sasa sijui anataka amrarue huyo mama au alipendezwa na mauno ya kwenye video ya Rarua

Alafu anaskiza sana Bongo Fleva kwasababu yeye anaishi Duniani Sio Mbinguni

Ila huyu baba ni bazazi jaman, kapiga Gold Chain kuuubwa shingoni. .. embu walokole mliopo huku mtusaidie Yesu alivaaga Gold Chain kweli au?

Ndoroooboe ngoja nikanunue gazeti nijipepeee

Habari kamili kwenye video

 
Africa kiboko watu wanaibiwa kwa mgongo wa dini halafu wamo tu
Halafu nisikie mtu anasema:- hivi tumerogwa na nani?
Ntamzaba kofi
 
Back
Top Bottom