imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 54,034
- 85,458
Huko itakuwa ni kama kuishiwa na Hoja, hebu tujikite na haya mambo ya utekaji yanayoendelea Nchini Tanzania.Ila akashindwa kumwalika Kenyatta mshirika kwenye Azimio la Umoja?
Huko itakuwa ni kama kuishiwa na Hoja, hebu tujikite na haya mambo ya utekaji yanayoendelea Nchini Tanzania.Ila akashindwa kumwalika Kenyatta mshirika kwenye Azimio la Umoja?
Huko itakuwa ni kama kuishiwa na Hoja, hebu tujikite na haya mambo ya utekaji yanayoendelea Nchini Tanzania.
Inaonekana marais walioalikwa ni wa EA so Tinubu hakualikwa Obasanjo kaalikwa kwa influence yake same as mshika rimoti.Obasanjo hawezi kuwa kaenda pale Kwa niaba ya Tinubu kama wenye kumwakilisha Ndayishimiye na Kagame?
kila kimoja na nafasi yake , mwisho mtakuja kupangia watu wavae mitumba kisa hakuna vyooMatumizi mabaya ya pesa za walipa Kodi wa Tanzania kumhudumia akiwa safarini nje ya nchi,huku hospitali zikikosa madawa. Unless awe ametumia pesa zake mfukoni kujisaforisha pamoja na hoteli
Nakukubali Mzee wa MSOGA aka Born in town!! Piga KAZI Tanganyika inakuhitaji MNO!!
All the best
Kila siku upo off pointJK ni hazina ya Taifa,aongezewe ulinzi
ila kubali tu JK ni nguli wa siasa na diplomacy nchini,ils ujue mimi sio chawa maana JK hayuko madarakani na simfagilii huyo mama yenuKila siku upo off point
Hata Kageme hakuwepo piaKwenu wajuzi, kuuliza si ujinga:
View attachment 3080797
Si kwa ubaya lakini.
Kwamba Kenyatta hayupo hapo ila huyu ndugu?
Hata Kageme hakuwepo pia
Ok nimekuelewa vyemaNyuma ya Samia ni mwakilishi wake.
Nyuma ya Odinga ni mwakilishi wa mrithi wa Nkurunziza.
Zingatia ni wa Burundi na Rwanda wenye wawakilishi pale kama Obasanjo yuko kivyake vyake.
Kwa nn huulizi obasanjo yupo hapo Kama naniKwenu wajuzi, kuuliza si ujinga:
View attachment 3080797
Si kwa ubaya lakini.
Kwamba Kenyatta hayupo hapo ila huyu ndugu?
unadhani wamejipeleka wenyewe bila mialiko?Labda na aliyekuwa mkuu wa majeshi Rwanda na waziri mkuu wa Burundi wamealikwa kama wao?
Hivyo hivyo labda Museveni na hata Samia?
Looh!
Mwono wako huoni kuwa uko fyongo mno?