CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 9,411
- 17,375
Magoma anasema mengine ameyahifadhi kwa heshima ya wazazi wa Haji, ukijiongeza hapo utajua kuwa biashara ilifanyika, wahuni hawajawahi kuacha mdondo salama.Hiyo michezo ya kulewa na kujibinua angeifanya maeneo yetu ya uswahilini hadithi ingekuwa imeshabadilika lakini ninavyoijua magomeni ya kipindi hicho sijui kama kijana hakuchezea bakora.
Ngoja niwatafute wakongwe wa magomeni nipate habari za Haji