Mzee Jangala vs MC Pilipili: Nani zaidi?

Sio huenda, ni kweli tupu. Kwa pumba zile shule itoke wapi?
Ni mwalimu na hata Jangala ni mwalimu. Ila vipaji havilingani, kipaji ni tunu ya Mwenyezi Mungu. Mmoja anajitahidi kufosi, lakini mwingi ni asili yake kuigiza. Labda kutokana na muda, kijana atazoea na kukiendeleza kipaji chake
 
Back
Top Bottom