Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 75,989
- 120,141
Dah, mkuu hiyo pount ya Lissu ukiichunguza sana inaonesha kama haamini katika usawa wa watu wote, anaamini wengine wanastahili kulindwa zaidi.Absolutely! Bahati mbaya siasa zetu hazitaweza geuka kuwa bora. Aina ya watu walioingia ktk siasa na malengo yao ni duni. Malengo yao makuu siyo tunavyoelezwa, Hii ni ajira ya watu wabovu. Ni njia ya kupata Kinga na njia ya kujulikana. Iwe ni CCM au upinzani. Ndo maana unakuta mtu kama Lissu anatumia mfano wake mwenyewe kuonesha ugumu wa haki nchini kwa kusema .... mimi ni mnadhimu mkuu wa upinzani nafanyiwa hivi .... Anaamini title hiyo inatosha kumpa immunity.
Wote ktk siasa zetu wako hivyo tangu chama kimoja na kushika hatamu. Upinzani nao wanajilazimisha kuishi kama CCM. Ukimpinga Mbowe, Out! Ukimpinga Cheyo, Out! Ukimpinga Mrema, Out!