johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 96,437
- 169,131
Mwenyekiti wa ACT Wazalendo mzee Juma Duni Haji amesema mzee Mandela alisema hakuna fursa nzuri ya kisiasa kama ile ya kukaa na mpinzani wako na kumueleza ukweli huku unamuangalia machoni.
Hivyo hao wanaopayuka kuwa ACT Wazalendo ni CCM B hawatusumbui kwani Chadema walipoomba maridhiano na hayati Magufuli walikuwa CCM B? ameuliza mzee Duni.
Chanzo: ITV Dakika 45
Hivyo hao wanaopayuka kuwa ACT Wazalendo ni CCM B hawatusumbui kwani Chadema walipoomba maridhiano na hayati Magufuli walikuwa CCM B? ameuliza mzee Duni.
Chanzo: ITV Dakika 45