mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 20,674
- 41,075
Ujishakula nyama ya mtu utaendelea kuila tu, dhambi hiyo itamuandama hadi kaburini( nimemkumbuka mwal. Nyerere)Aliua wazanzibari wengi sana mwaka 2001, ni lijitu katili sana
Ujishakula nyama ya mtu utaendelea kuila tu, dhambi hiyo itamuandama hadi kaburini( nimemkumbuka mwal. Nyerere)Aliua wazanzibari wengi sana mwaka 2001, ni lijitu katili sana
Umetonesha kidonda. Tumepoteza ndugu,jamaa na marafiki.Aliua wazanzibari wengi sana mwaka 2001, ni lijitu katili sana
Pole sana. Unaonaje ukianzisha combo chako ukamtangaza huyo bashite wako?Kama kutangaza kumsusia Makonda,sijawahi ona uamuzi wa kipumbavu kama huo
Halafu wanalilia uhuru wa habari,wanataka uhuru wakati wao wanawaminyia habari wananchi,kisa wamegombana na mtu mmoja tu.Mwanasiasa haanguki kwa kususwa na vyombo vya habari
Kama ilivyo hii ni comment ya kijinga zaidi kwa kutoona mantiki ya kumfungia mvamizi wa vyombo vya habari, mharifu wa taaluma na mtu asiye na staha ya kiuongozi..Kama kutangaza kumsusia Makonda,sijawahi ona uamuzi wa kipumbavu kama huo
Halafu wanalilia uhuru wa habari,wanataka uhuru wakati wao wanawaminyia habari wananchi,kisa wamegombana na mtu mmoja tu.Mwanasiasa haanguki kwa kususwa na vyombo vya habari
Mbabaishaji kama kijana wake.Maendeleo na uchumi utariport mini wakati pesa iliyotolewa kwa kazi hiyo ni asilimia 18% tu ya bajeti mangine ni sasa tu na matukio? Automatically na habari za uchumu na maendeleo zitaandikwa kwa asilimia 18% na asilimia iliyobaki itakuwa siasa na matukio.
Kabombe you nailed it.Kama kutangaza kumsusia Makonda,sijawahi ona uamuzi wa kipumbavu kama huo
Halafu wanalilia uhuru wa habari,wanataka uhuru wakati wao wanawaminyia habari wananchi,kisa wamegombana na mtu mmoja tu.Mwanasiasa haanguki kwa kususwa na vyombo vya habari
Uko changanya akili yako na familia yako yote hamfikii 2% ya Akili ya Ndugu Benjamin William Mkapa, uwe na adabu, Kigezo cha akili za Mtu sio kuzungumza unachokipenda!
Angekuwa na hiyo akili asingeuza viwanda vyote na benk ya NMB kwa bei ya kutupa. Huyuhuyu ndio aliyeketa ile kampuni ya kitapeli ya Netgroup solutions. Huyo jamaa naye ni product ya jazba na kutumia nguvu nyingi.
Mkuu. Suala la vyeti feki linahusu hata vyombo vya habari. Kuna upuuzi mwingi sana kwenye media za kibongo. Kuna watu fulani wachache wanadhani wao ndio kila kitu.
Maisha ya kupenda mteremko hayajaipitia pembeni media inayohabarisha umma. Matokeo yake ndio haya, ambapo habari za uongo zinasambaa na kuwafikia wengi kwa muda mfupi kulinganisha na zile za ukweli.