Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,510
- 10,909
ushakuwa mraibu weweWakuu nimeanza upya kutazama GOT sijui ni mara ya ngapi sasa naingalia. Maana nairudia rudia toka 2019.
Ila kila nikiitazama naiona mpya hasa dialogue zake
ushakuwa mraibu weweWakuu nimeanza upya kutazama GOT sijui ni mara ya ngapi sasa naingalia. Maana nairudia rudia toka 2019.
Ila kila nikiitazama naiona mpya hasa dialogue zake
Kwa upande wa series za kiingereza, GOT waliua kabisa. Sidhani kama ana mpinzani, hata akija kutokea, sio leo.Halafu weee jamaa kwenye id yako ile nyingine hua unasifia series za kikorea hafu kwa hii unasifia GOT🤣🤣🤣
Hii series ilikuwa haitaki utabiri cha mbeleniKabisa yaani... Hua nainjoi sana nikiitazama. House of dragon ndio imenishinda kuirudia kabisa
Cc Da'Vinci 😄Ndo nimeimaliza ila sijaiona kuwa ina uzur huo mnaoisifia, season1&2 zilikuw zinaniboa had nilikuwa natak niiache kuingalia ending yake sio nzur naipa kwangu 7/10
Game of throne mwanzo nilijaribu nikaachana nayo mara ya pili nikatulia na kuanza kupata maana yake tangu hapo nadhani nimerudia mara zaidi ya 10
Kitu kimoja utagundua ni kuwa Bran na Sansa ambao wanainuka kama king na Queen hawakuwahi kuua mtu yeyote kwa mkono wao
Arya nadhani ni best character kwenye season 7 alifanya mapenzi just to know the feeling of sex alimuomba jamaa penzi kibabe sana
Cercei alitongozwa na lile uncle la Theon mbele ya Jeame lanister kumbuka walikuwa ni wapenzi na jamaa Lili mgonga hii ilitokana zaidi na kupoteza mkono kwa Jeame ambapo ilishusha sana kujiamini kwake
Khalees aliuliwa kimahesabu sana na John ni kama kusema never tell your plan to anyone Jon alikuwa na mpango wa kumuua yule ila alitafuta mda sahihi
Kabla sijaangalia hii series niliamini 24 na prison break au breaking bad ni toptop ila GOT ni level ya juu
Kuna bonge aliemua kuacha kukimbia akaamua kuwa mpishi mule Kuna Comedian mmoja tunamkwepa na ana maana kubwa sana the man himself SAMWEL TARRY
Pia nafikiri Cercei kulala la uncle wa Theon ilikuwa ni baada ya kutimiza ahadi yake nafikiri kumletea lile jeshi la wale jamaa wa dhahabu sina kumbukumbu nzuri lakiniGame of throne mwanzo nilijaribu nikaachana nayo mara ya pili nikatulia na kuanza kupata maana yake tangu hapo nadhani nimerudia mara zaidi ya 10
Kitu kimoja utagundua ni kuwa Bran na Sansa ambao wanainuka kama king na Queen hawakuwahi kuua mtu yeyote kwa mkono wao
Arya nadhani ni best character kwenye season 7 alifanya mapenzi just to know the feeling of sex alimuomba jamaa penzi kibabe sana
Cercei alitongozwa na lile uncle la Theon mbele ya Jeame lanister kumbuka walikuwa ni wapenzi na jamaa Lili mgonga hii ilitokana zaidi na kupoteza mkono kwa Jeame ambapo ilishusha sana kujiamini kwake
Khalees aliuliwa kimahesabu sana na John ni kama kusema never tell your plan to anyone Jon alikuwa na mpango wa kumuua yule ila alitafuta mda sahihi
Kabla sijaangalia hii series niliamini 24 na prison break au breaking bad ni toptop ila GOT ni level ya juu
Kuna bonge aliemua kuacha kukimbia akaamua kuwa mpishi mule Kuna Comedian mmoja tunamkwepa na ana maana kubwa sana the man himself SAMWEL TARRY
Hapana alifanya ili kuwalinda Starks maana Khalees alikuwa anaifata Winterfell na ukimuangalia Sansa unamuona Cercei ajae asingekubali kupiga goti kwa Khalees hili wazo alikuwa nalo tangu siku Ile ameongea na Varys kule Dragon bay (kama sikosei)John snow kumuua Khaleesi sio alifanya baada ya Khalees kuchoma mji wa Kingslanding
Uko sahihi ila alilala nae baada ya kuwaleta wale mama na mtoto wake walio muua mtoto wake Cercei alitaka kupindua ila jamaa likamkumbusha akaachia pale utajua baadhi ya wanawake wanapenda bad boys na nasty boysPia nafikiri Cercei kulala la uncle wa Theon ilikuwa ni baada ya kutimiza ahadi yake nafikiri kumletea lile jeshi la wale jamaa wa dhahabu sina kumbukumbu nzuri lakini
Sansa ni mjinga sijawahi kumkubali alikuwa boya sana ndo maana Ramsey alimpiga kitu kizito alikuwa anajiona anaakili kumbe mweupe tu, Bora mdogo wake Arya alikuwa na akili sana dogo yuleHapana alifanya ili kuwalinda Starks maana Khalees alikuwa anaifata Winterfell na ukimuangalia Sansa unamuona Cercei ajae asingekubali kupiga goti kwa Khalees hili wazo alikuwa nalo tangu siku Ile ameongea na Varys kule Dragon bay (kama sikosei)
Varys ndie alianza kuona hatari ya Khalees Kisha Tyrion Lannister
Uko sahihi sijawahi kumkubali kabisa SansaSansa ni mjinga sijawahi kumkubali alikuwa boya sana ndo maana Ramsey alimpiga kitu kizito alikuwa anajiona anaakili kumbe mweupe tu, Bora mdogo wake Arya alikuwa na akili sana dogo yule