Hakusema. Magazeti ya porojo ndiyo yalizua hayo.ndio ukwelii hata kama humpendiii
Hakusema. Magazeti ya porojo ndiyo yalizua hayo.ndio ukwelii hata kama humpendiii
Japokuwa Wakatoliki ni wengi Marekani kuliko dhehebu lolote...Mkuu kauli ya papa haitobadilisha nia ya wamarekani japo ni kiongozi mkubwa na mwenye nguvu duniani.Pili wamarekani na ukatoriki hawako karibu kivile.
wembe ni ule ule uliomkata lowasa ndo utakaomkata Trump, aliedhaniwa mshindi hakushinda. Wanachama huru tumejiandaa kumuingiza hillary madarakani
ivi trump amesema lini kwamba ataddeal na bara la africa?Nitajisikia mwenye amani sana kama Trump ataongoza taifa la Marekani.
1.Aondoe dhana za serikali za kiafrica kutegemea misaada.
2.Awakomeshe viongozi madictator wa Africa kama Museven, Mugabe na nk.
3.Yeye ni msema ukweli na msema ukweli lazima achukiwe.
4. Watu wanasema hoo hatutapata nafasi ya kwenda Marekani!! Marekani kuna maisha magumu tuu tena sana siku izi tofauti na zamani...uende Marekani kwa sababu maalumu ambayo Trump hata izuia...kila la kheri Donald Trump
i trump amesema lini kwamba ataddeal na bara la africa?Trillionaire wa kwanza kuwa Rais.
Nataka ashinde awaondoke madarakani mugabe, museveni , kagame, nkurunziza na kabila.
Nataka ashinde africa tuwe na nidhamu na uongozi.
We uko duniani gn nachukia mtu una smart phone hufuatilii mambo ya kidunia, huangalii taarifa ya hbr, husomi magazeti.i trump amesema lini kwamba ataddeal na bara la africa?
naomba linki ya huo mdahalo niangalie maana midahalo mingi nimeangalia sijawahi ona akizungumzia kuhusu africa. naomba linki ya huo mdaharo tafadhari.We uko duniani gn nachukia mtu una smart phone hufuatilii mambo ya kidunia, huangalii taarifa ya hbr, husomi magazeti.
Trump kwenye midahalo ya kuzungumzia siasa za africa alisema akichaguliwa kwanza atawaondoa museven na mugabe madarakani na atawafunga na alisema africa inatakiwa itawaliwe tena kikoloni kufundishwa atawala bora
Sio jukumu langu kukupa link nimekupa hints sasa ni ww kulifanyia kazi uwe updated sio unajiendea tuu.naomba linki ya huo mdahalo niangalie maana midahalo mingi nimeangalia sijawahi ona akizungumzia kuhusu africa. naomba linki ya huo mdaharo tafadhari.
sizioni wewe kama unazo naomba unipe mkuu.Sio jukumu langu kukupa link nimekupa hints sasa ni ww kulifanyia kazi uwe updated sio unajiendea tuu.
He never said that. Ni uzushi uliotungwa na mitandao ya tashtiti huko Kenya.ati aliesema Africans are good @ eating,sex and lazy simpendi ng'o
Using'ang'anie uzushi. Trump hajasema mambo hayo. Tumia smart phone yako vizuri ugoogle hizo habari. Na utagundua mara moja zimetoka kwenye mitandao ya satire ktk nchi kama Kenya. Wewe sasa tukuase, fuatilia habari lakini uwe na critical mind ya kuona kama habari ni ya kweli au ya uwongo. Na usikimbilie matusi.We uko duniani gn nachukia mtu una smart phone hufuatilii mambo ya kidunia, huangalii taarifa ya hbr, husomi magazeti.
Trump kwenye midahalo ya kuzungumzia siasa za africa alisema akichaguliwa kwanza atawaondoa museven na mugabe madarakani na atawafunga na alisema africa inatakiwa itawaliwe tena kikoloni kufundishwa atawala bora