My dear Zanzibar

Kwa nini watengewe sehemu maalumu za kula? Raia wasiofunga wanapaswa kuwa huru kula mahali popote.
Kwa Mazingira ya zanzibar yanavyokuwa mwezi wa Ramadhani hata wewe utajiskia vibaya kula hadharani, kunakuwa hakuna mishemishe za migawahawa wala mama ntilie, sasa jiulize huyo anaekula hadharani hiko chakula kakitoa wapi? Watu wengine tu wanapenda kufanya fujo la maksudi. Zanzibar huo ni utaratibu...hulazimishwi kufunga lkn hakuna kula hadharani
 
Angel Nylon kwa maelezo yako haya👇👇

sasa jiulize huyo anaekula hadharani hiko chakula kakitoa wapi? Watu wengine tu wanapenda kufanya fujo la maksudi. Zanzibar huo ni utaratibu...hulazimishwi kufunga lkn hakuna kula hadharan

Hapa napata picha kwamba huenda basi kuna mchezo mchafu ambao unafanywa makusudi kuichafua zanzibar
 
Mashoga kila nyumba na kuwafukua mitaro wake zenu huku mmejificha kwenye imani unadhani ni vizuri? Mnajifanya kwenda sokoni Wanaume kumbe wake zenu bila pampers hawawezi kutembea
Papa kasema kanisa libariki machoko
 
Tatizo kubwa ni kuwa Wabara wengi sio wastaarabu, Kimsingi unapokua ugenini unatakiwa ufate taratibu zao ukiona huziwezi rudi nyumbani. Wapemba wengi wanaishi hapa Dar, sio kama kila kinachotendeka kwenye huu mji wanakifurahia, ila kwa vile hapa sio kwao unawakuta wametulia wanapiga ishu zao kimya kimya na maisha yanaende. Tatizo kubwa ni kuwa Watanganyika wanalazimisha Zanzibar iwe kama wanavyotaka kitu ambacho hakitawezekanwa.
 
Kweli kabisa chief,, yaan ni kama vile wanzibar wa huku walalamike kwanini mwezi wa ramadhani sisi wabara tunakula hadharani? Lazima tutawashangaa sana kwakweli
 
Back
Top Bottom