Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,280
- 16,556
- Thread starter
- #21
Masoud akaipata ile sms akaisoma weee akaiweka simu chini. Alafu akarudia weee akaona kama anaota. Akanyamaza hakumwambia mke wake.
Mke akaja kulala mume hajamsemesha kitu, kwanza alimkuta keshapanda kitandani kulala. Masoud akajipa moyo kumbe anachofanya na Mary ni sahihi zamani alikuwa anajiskia vibaya lakini sasa akajua kuwa kingwi nae anamwaga mboga nje akasema potelea pote nikimfuma namtwanga talaka me naweka chombo Mary ndani au baby mrembo ndani.
Asubuhi Oga akasepa zake mzigoni, Selina akaingia saa 2 asbh ananyata kufika ndani hamna mtu, kakagua nyumba yote pamenuna. Akaingia chumbani Oga hayupo akajua ameenda kazini. Akaweka pochi kitandani zake kuangalia vizuri mashuka machafu! Tobaaa ina maana Oga ameleta mtu humu ndani?! Akaanza kutetemeka kumbe na mie napigwa kibingwa nilijua me mwenyewe tu ndio komando yoso! Akakosa pozi akaingia kuoga ajiandae kwenda zake kwenye darassa
Kufika darasani mwanafunzi (caroline) akamkimbilia. Mwl nimepewa hela za extra classess na baba, Selina akamwambia sawa hamna neno kalipie kwa cashie mwambie aandike ni pesa za mwenzi mmoja. Mwanafunzi Caroline akaenda kwa cashie akarudi wakaendelea na darasa.
Pendo na Baba wa mwanafunzi wameshaamka, Pendo keshaandaa chai kwa ajili ya mpenzi wake Jose, mahani nigaragazr breakfast on bed, papaa josee karibu chai, mabusu, sweetie, baby, babe, kupetiwa kwa sana, kha kweli mwanaume akiwa na hela ataitwa majina yote hata jina la Obama ataitwa. Chezeya Boutique wewe.
Pendo na Jose ni unbreakable kama Unbreakable Kemi Schmid! Hata waende kusini na kaskazini jose sikuzote anarudigi kwa Pendo, sijui kampa nini huyu mwanaume, demu hana stress hata kidogo, Jose anatamani amuoe hata kesho lakini anasita kwa ajili ya mtoto, hajui mtoto atalipokeaje hilo swala, na yeye tangu mke wake alipofariki hajakaa vizuri sana kumu introduce msichana yeyote kwa mwanae Caroline. Baadae wakatoka wote Jose akampeleka Pendo ofisini kwake yeye akarudi nyumbani kumchukua mtoto kumpeleka shuleni.
Saa ya kutoka Selina akamwona baba wa Caroline. Kha! Baba mzuuuri huyo handsome hatariou! Mpaka akadinda! Selina anahaha huyu bwana lazma nimle, anahaha kama mbwa dume akiona mbwa jike, akaanza kutunga sheria kuwa huyu baba lazima niende nae sawa angalia gari anayoiendesha kwanza BMW X6 tobaaa
Selina kwa umbea akachukua simu akamtwangia Pendo. Shouger kuna bwana huyo amenijaa mdomoni na chupini, yani nimemwona nikaota dyu dyu fasta! Nikadinda na kusimamisha kabisaa, kha mwanaume kama yule sijawahi muona zambia.
Pendo; ni nani huyo?! Anaitwa nani?!
Selina: hata sijui ila nimeshika plate no yake ya gari, akamtajia
Pendo: tobaaaa (kimoyomoyo), enhe sasa una mpango gani?!
Selina: kwanza nataka nimuvuzishe darasa langu na yule mwanae kwao maana dah nimempenda bure
Pendo: haya ninja wangu we ninja me nakukubalia mia mia. Yani we akitoka rambo unaingia wewe, yani ikitoka fast and furious 7 unakuja wewe, anazifi kumpump na kumng'ong'a. Akamwambia tutaongea badae basi shogangu
Nina wageni, akakata simu fasta anawaza atamkwepeshaje Selina kwa mpenzi wake Jose?!
Maringo karipoti ofisini, kila mtu anashangaa yale mahips na lile zigo, kha! Majanga, kuna uponyaji kweli hapa ofsini au ndio Tornedo imeingia bank?! Akauliza Kandi. Demu kama yule ukisikia anatembea na bwana wako bore umnyweshe sumu afe tu akajibu Mrembo maana lile ni zaidi ya Katrina, yani tornedo litasuburi miaka 100 angalia wanaume wanavyomwangalia huyu washadinda, WTF!?
Akaingia ofisi ya meneja kuripoti, meneja akamwita kandi na Mrembo wamsainishe tempo job, alipomaliza akapelekwa bank teller, wale wadada wa HR wakashukuru, uko uko kwenye kioo cha gari aonekane apatage na bwana asije kutuibia wa kwetu!
Kesho yake kama Mungu akaingia mkuu wa mkoa (Patrik) kiweka hela bank, tobaaa anakutana na mtoto Maringo, kha! Hii nyomi ni balaa, zaidi ya nyoko, wanaume kibao wameganda kwenye foleni yake, siku ya pili bank ilifurika, kila mtu anataka kumwona Maringo, meneja anaangalia kwenye kideo bank limejaa, akaongeza staff kupunguza foleni lakini staff wapo idol kila mtu anaenda kwa Maringo, wakifika si wanajua huyu mgeni, wamamtuma kwa meneja akamwite, basi anatoka keenye kiti anaenda kwa meneja sasa lile chura sasa, kha! Kama muvi!
Lunch time Maringo anakula zake mwenyewe Oga na Musa haoo, wakawa wanamsalimia, wanajipendeleza, wanajitoa ufahamu, Maringo anacheka tu! Wakajiongelesha pale Maringo anawaangalia tu! Hajibu sana zaidi ya asante, pole,sawa, ok, mpaka lunch time imeisha Oga akaomba namba yake ya simu, Maringo akamtajia namba ya Joe, akawaambia simu imeisha charge nitumie sms nikiwasha nitasave no yako!
Kazi juu ya kazi yani bamba tu bamba
Kungwi akatoka zake kwenda ofisini, lakini hakwenda ofisini, akaingia nyumbani kwa manoa kulia lia, nyuma anafuatwa na Mumewe Masoud kabeba Camera, alivyokuwa anaingia ndani anampiga picha! Akaenda kujibanza dirishani kwa Manoa, anasikia tu jinsi anavyoliwa mkewake, na jinsi manoa anavyolia! Akatikisa kichwa akataka aingia ndani akasema hapana, ngoja tu kwanza nione mwisho wake nijue itakuwaje roho inamuuuma kama inataka kutoka, akaondoka zake huyoo ana evidence no 1.
Kungwi baada ya dance kuisha, akaoga fasta anaenda darasani, kafika darasani saa 4, kipindi cha kwanza na 2 kimeisha ni mapumziko, wenzake wanamwulzia vipi jamani mama mbona umechelewa akajibu niliensa hospital ndio narudi yani sina raha nipo hoi, wakampa pole pale akaenda kuomba ruhusa apone kwanza wiki nzima, basi kila siku anaamkia kwa Manoa analala kwa mumewe masoud!
Masoud nae akajisemea moyoni kama noma na iwe noma, kugwi akitoka anaingiza Soya ndani. Soya ni mke wa serikali za mitaa, Soya kama mama wa nyumbani, mume akienda ofisini anapika cha mchana anaenda kupata breakfast kwa masoud! Tobaa! Mchezo ukaenda wee kwa muda wa wiki 1, Masoud akaaga kwa mkewe anaenda kufuatilia biashara zake Lusaka! Akasepa jumamosi, j2 yupo lusaka hotelini, akampigia Mary nimefika mpenzi wangu nipo hotel flan na flan!
Mary aliruka fasta, ndani ya nusu saa yupo hotelini, pigwa miti kwa sana, haina mfano wake, miupwiru ya wiki 2 yote Masoud kajitahidi akamaliza. Mary akakaa sawa, hakukuwa na cha kwenda kanisani wala nini, mume anamshangaa tu unaenda wapi?! Anajibu naenda ofisini nimeitwa na boss amekuja kuchukua mrejesho, mume akajua sawa tu!
Didie! Akiwa kazini akampigia simu Drogba!
Didie: my brazaaaaaaaaa! Why you avoiding me ooo haujui kuwa me ni twin wako
Drogba: brazaaaaaaaaa! Acha kabisa, hapa kiuno sio changu leo nimeomba leave kazini jana nilimnyoosha maza m1 ivi ana matatizo na mumewe, afu njoo basi nikuuzie sanda kalawe maana nimefulia wangu
Didie: nipo ofsini braza. Itakuwa ngumu kabisaa njoo wewe lunch time nikupeleke ukale
Drogba:nakuja saa 7 hapo nipo chini nakusubiri ushuke
Didie: sawa simu ikakatika. Didie akapiga mzigo weee lunch time juu ya alama Drogba huyooo nipo chini njoo nna njaa kweli. Wakaenda lunch storie storini
Drogba: asee bro si unajua maisha yangu ya kubipu?! Me nipo tu hapa nasubiri salary, hawa wanawake wananimaliza nguvu ya kipesa sasa na me kama Mnigeria nahisi nimeshaishiwa maujanja!
Didie: niaje kwani?!
Drogba: ah si unajua me nipo single bro! Ila ni ka nipo kwenye mahusiano kwasababu hapa nilipo nina michepuko 3, moja mke wa Pastor anaitwa Neema, wa pili Mary mke wa mkuu wa mkoa wa tatu Kandi ex wangu, akinimiss narudi kuzindua papuchi si unajua hizi machine zetu anajuta kwanini aliniacha!
Didie: doh! Sasa unanipaje sanda kalawe hapo ivi unatumia kinga lakini?!
Drogba: kinga muhimu ntatembea peku kama nikimpata ninaempenda
Didie: haya nambie
Drogba: utanipa dola 3000 tunaweka watu sawa poa?! Tukimaliza tukio hili tunaoa. Wakacheka paleee dah, aya bwana
Didie: enhe nani sasa unanipa?! Unajua na mie nipo single sijaona mwanamke nina miezi 3
Drogba: ayoooo! Ur practically a virgin! Cha! We ngoja nikupe Kandi maana hawa wamama nao wanaweza wakashtukia muvu au ngoja nikupe Mary maana huyo alinitafuta sijamfuata
Didie: poa hamna shida sitakuacha vbaya
Drogba: sasa wewe kuanzia leo ndo mimi, akampa ubuyu wooote na ramani yote, Didie akaelewa somo, akamwambia anunue namba mpya ya simu na yeye ataendelea na ile ile yake poa
Didie: poa
Drogba:leo usiku uonane na Mary mke wa mkuu wa mkoa akampa juna la hotel na ramani ya Mary na drama zake na vile vitu anapenda afanyiwage!
Didie: nimekusoma braza!
Drogba: haya wire my money to my accound upront dola 3000 kabla movie halijaisha dola 3000 tukimaliza syndicate dola 1000
Didie: sawa wangu me na wewe tena
Drogba: ukimaliza hapo nakupa Neema alafu bdae Kandi
Didie: poa. Vipi Umemcheki Oga?!
Drogba: hapana niliongea nae akasema kuna mrembo namfukuzia ana mkundu hatari, bonge ya chura! Wote wakacheka,
Didie: oga kwa kupenda nyangumi atafia baharini haya kampata sasa huyo demu
Drogba: ah me sijui bwana kasema wanafanya wote kazi huko bank sijui hata sijamwelewa sijui ye na selina wameishia wapi
Didie: mh! Selina yule bora ampige chini, juzi kati hapo nimemwona anatembea na kaka m1 wa Airtel nikampita tu, ye hanifaham me namfahamu sana!
Drogba: eh?! Anashangaa kweli mdogowetu hana mtu pale itabidi tumshtue nae akipenda anapenda kama boya ndo hapo ananiangusha, mnigeria kama Mtanzania yule, kanakuwa kaboya sana inabidi tumvamie kwake skumoja tukaseme nae. Wakacheka palee wakamaliza kula wakarudi kila mtu na kwake
Usiku Mary akamtext Drogba nahitaji kukuona na nini, Drogba akamwambia tuonane Royal Livingstone hotel, muda flani. Mary akajua leo ni leo asemae kesho ni uongo
Akatua Livingstone hotel, akatokea Didie, Mary akamkumbatia na nini pale chumbani mojaa asijue yule ni Didie. Mipacha ile ilikuwa inafanana kama mayai! Kha! Mary alipigwa miti hakutamani kuondoka, kweli Nigerians wana Minazi sio miti, kha! Didie nae akaitumia ile nafasi, akafufua walilala, Mary analia punguza Douz, utaniua me mke wa mtu! Tobaa! Didie ndo kwaaanza anaipeleka ki mwendo kasi, kha! We Drogba utanichana uchi bure unataka mume wangu aogelee tukikutana?! Akasema Mary, Didie kimwendo kasi mojaaa, kimaliza akamfunga Mary goal 4 bila!
ITAENDELEA SAA 4 USIKU