Magufuli alimtoa nishai Nape kule lindi ije kuwa waitara kweli,
Nape kadai dispensary imejengwa kwa milioni 40,JPM akasema twende nikapaone,
akaingia kwenye pagale,"hii nyumba ndo umesema milion 40 hii,bati 25,aah hapa watu wamekula,kwanza wewe Nape umetoa hela ngapi",
Nape-"mimi nitatoa milioni 3".
Jpm-"milioni 3?!!",akishangaa,"kwani pesa ya jimbo umepata ngapi?".
Nape-akijiuma uma,"mmmmm,milioni 70"
jpm-"sasa milioni 70 unatoa milion 3?,sasa hapa tumalize kabisa,mimi nitatoa milion 15 hata leo hii,wewe toa milioni 10,utatoa lini hizo hela?"