Mwisho Mwampamba, nini kimemsibu?

Ila watu mimi wananishangaza,tatizo ni nini kupigania halali yake au ........................... yeye kuishiwa............. kwani alikuwa na pesa kiasi gani na alikuwa anamiliki nini ................
 
Duh maskini na hilo balagashi kama homeless vile jamaa kachoka au anakunywa viroba siku hizi:confused:
 
Ila watu mimi wananishangaza, .... kwani alikuwa na pesa kiasi gani na alikuwa anamiliki nini ................
Milioni 100 kwa miaka ile (na hata sasa) unaona si kitu cha kutokea maisha? Acha kumkufuru Mungu!
 
Kutoka BBA na kuwa maarufu Africa nzima mpaka kizimbani kwa kesi ya kugombania urithi kweli nimeamini umaarufu ni zigo la mavi .habari zaidi ingia kwa Shekidele.com a.k.a mkude simba.

View attachment 335263


Huyu hawezi kuwa ndugu wa Mwisho Mwampamba hadi dunia iishe!. Na hana undugu na mtu yeyote zaidi ya kutafuta fursa tu!.
 
Ila watu mimi wananishangaza,tatizo ni nini kupigania halali yake au ........................... yeye kuishiwa............. kwani alikuwa na pesa kiasi gani na alikuwa anamiliki nini ................
Samahani hivi kesi aliyofungua huyo ndugu yake ni ya mirathi au ni kesi ya ubaguzi ?? Hili la kudhulumiwa linatoka wapi ?
 
Umaarufu bongo ni noma... hasa ukikutana na kina Ray C na yule dada wa Namibia alikuwa anaonekana ni mlevi na mpenda starehe.... ila Mwisho kwa nilivo muona ninl humble na gentleman, tatizo ni pesa za ghafla na nyingi... Mwisho unaweza limaliza hili.... u ar brothers na baba yenu kama anawatizama alipo atakuwa anaumia... najua ulivo mpuuzia Gaitano wa Uganda wakati ule anakuprovoke... plz japo Robert ni mkorofi (nilivo soma hapa).... jishushe na mwombe msamaha na tokea hapo tengeneza ubest friend nae mbali na undugu... i know u can do that dude... take a step na anza sasa plz....
 
Samahani hivi kesi aliyofungua huyo ndugu yake ni ya mirathi au ni kesi ya ubaguzi ?? Hili la kudhulumiwa linatoka wapi ?
Ni kesi ya kutukanwa matuzi ya kibaguzi, haihusiani kabisa na mirathi.
 
Ndio maana nikauliza hawa wanosema sijui dhuluma halafu kesi inasema ni ubaguzi wana maana gani ?
Achana na hao. Ni hivi Mwisho na huyo mdogo wake huwa haziivi kitambo, katika kutupiana maneno mara baada ya msiba wa Mdingi wao, akamtukana kwa kauli za kumbagua kwa rangi na matusi mengine kibao, ndo mshikaji akaamua kukimbilia mahakamani.
 
Usiongee jambo usililolijua, huyu wameshare baba na Mwisho sio mama. 'Uzungu' wa Mwisho umetoka kwa mama sio baba.

Hutanielewa kwa sababu hujui ninachokisema. Hata hivyo maisha yanaendelea. Mwisho wa siku wataeleweka tu hata kama si ndugu wa ukweli.
 
Ni kesi ya kutukanwa matuzi ya kibaguzi, haihusiani kabisa na mirathi.
Kesi hizi zinatakiwa ziishie polisi kwenye dawati la jinsia la kituo cha polisi, huko mahakamani zinalete msongamano tu kwani kuna lundo la mahabusu wanahitaji huduma
 
Samahani hivi kesi aliyofungua huyo ndugu yake ni ya mirathi au ni kesi ya ubaguzi ?? Hili la kudhulumiwa linatoka wapi ?
Watu wametoka kwenye hoja ya msingi wanazungumzia maisha aliyokuwa nayo mwanzo na ndio na mimi nikawahoji kwenye hilo soma mjadala unavyokwenda.
 
Back
Top Bottom