Tanganian
JF-Expert Member
- Jan 27, 2025
- 2,161
- 4,003
Mwijaku anakigombna na yule mchaga wake ,wakipiga pasu mali basi mtamsahau ... Wametoka mbali sana na yule ana mchango mkubwa kwenye mafanikio yake.Kuna video niliona aloo huyo Menina kaisha hadi huruma mwijako ana gundu kali.