Mwijaku alivyosambaza picha za utupu za Menina nikajua hana akili

mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
21,667
53,811
Mwanaume anayesambaza picha za utupu za mpenzi wake,hana akili.

Kushinda ile kesi haimaanishi hakufanya,mahakama zetu tunazijua

Ukiangalia matwndo yake tu unajua Mwijaku amekulia makuzi ya kuunga unga sana anajifariji kuponya vidonda vya utotoni

Toto zuri kama lile mwijaku akariharibia maisha mpaka anekonda na hapati tena dili za u MC
 
mwijaku ni mpuuzi aliyeweza kutengeneza hela kwa upuuzi wake.

kipato cha mwijaku kwa mwezi ni around milioni 8 mpaka 10

kwa kipato hicho hapa Tanzania wanawake watakukubali tu hata ukiwa mpuuzi

Tanzania kuna upungufu mkubwa sana wa wanaume wanaoweza kuhudumia wanawake ki mahitaji, hapo ndipo kina mwijaku na wenye vipato wengine wanapotake advantage kuchezea wanawake
 
Mwanaume anayesambaza picha za utupu za mpenzi wake,hana akili.

Kushinda ile kesi haimaanishi hakufanya,mahakama zetu tunazijua

Ukiangalia matwndo yake tu unajua Mwijaku amekulia makuzi ya kuunga unga sana anajifariji kuponya vidonda vya utotoni

Toto zuri kama lile mwijaku akariharibia maisha mpaka anekonda na hapati tena dili za u MC
Kumbe wale waliokuwa wanamgombania ni wa kitambaa cheupe siyo wanafunzi wa chuo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom