ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 58,685
- 69,335
Hata Mimi najiuliza ni nani aliyependekeza eti mikataba yote ya kuanzia thamani ya Bilioni 50 ipelekwe kujadiliwa Bungeni.
Hilo pendekezo ni ujinga mwingine,badala ya kuongeza Ufanisi na kupunguza kero tunaongeza urasimu,Hii Nchi inaingia mikataba mingapi? Bunge si litakuwa la kujadili mikataba Sasa Kila siku?
My Take
Naunga mkono Msimamo wa Mwigulu na Serikali.
Cha muhimu ni kuweka sheria Kali za uwajibikaji za kuwabana watu wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Chemba ya Wataalamu wa Mikataba wa Serikali in case kutagundulika blander zozote.
--
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema miradi ya maendeleo itasimama endapo mikataba yote inayozidi TZS bilioni 50 itajadiliwa bungeni kwanza kabla ya kusainiwa.