Mwigulu Nchemba "Miradi Itasimama Kama Mikataba Yote Ikiletwa Bungeni"

Kama ni hivyo hkupaswa kusaini mikata mpaka pale ambapo Sheria hiyo ingefutwa. Kwa Sababu kama Sheria ipo inayoelekeza mikata inayozidi 50b ipelekwe bungeni na nyie mkaamua kutokutekeleza ni kuvunja Sheria, mlipaswa mtetee hoja yenu kwanza Sheria hiyo iondolewe ndio muingie mikata bila bunge.
 
IGA ya DP World ilijadiliwa na nani? Wapi huko kwingine Kila mkataba unapelekwa Bungeni?
Ilipaswa kuwa hivyo ni hili bunge hovyo la CCM na udikteta wake ndio waliozuia. Sijui kwanini mtu mwenye akili timamu apende CCM iendelee kutawala isipokuwa tu kwa manufaa binafsi.
 
Hata Mimi najiuliza ni nani aliyependekeza eti mikataba yote ya kuanzia thamani ya Bilioni 50 ipelekwe kujadiliwa Bungeni.

Hilo pendekezo ni ujinga mwingine,badala ya kuongeza Ufanisi na kupunguza kero tunaongeza urasimu,Hii Nchi inaingia mikataba mingapi? Bunge si litakuwa la kujadili mikataba Sasa Kila siku?

View: https://twitter.com/swahilitimes/status/1699835506861961642?t=4zilpr82V7uVbwXxwwJddQ&s=19

My Take
Naunga mkono Msimamo wa Mwigulu na Serikali.

Cha muhimu ni kuweka sheria Kali za uwajibikaji za kuwabana watu wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Chemba ya Wataalamu wa Mikataba wa Serikali in case kutagundulika blander zozote.

Na vipi miradi ya kuuza nchi?
 
Si Bora isimame kuliko hizi hasara za karne?

Kwani nani mfaidika wa hiyo miradi? Kama ni wananchi why isipite Kwa wawakilishi wa wananchi Hilo kundi dogo lililopewa jukumu lenyewe Lina haki gani dhidi ya umma wote huu wa watanzania?

Yeye aseme tu baada ya hayo kukubalika kickbacks zitakuwa shida kupatikana Kwa viongozi wasio wazalendo na wenye kupenda kutumia maliasili za nchi kama Mali zao binafsi
 
Shujaa Magufuli alikuwa anafanya maamuzi mwenyewe kwa sababu hata Bunge kalichonga yeye mwenyewe

Namuunga Mkono Dr Mwigulu PhD
Yaani kama unaamin phd ya Mwigulu pole na kaka yawezekana Elimu yako ni ya chini sana ndio maana huwezi kutofautisha viwango vya Elimu.
 
Ila choicevariable, initially nilidhani ni mzee wa 254 ila siku zinavyozidi kwenda 🤐🤐
Ukiona hivyo ni mfaidika wa wakati huu na Kwa akili zetu za kimasikini anadhani hiyo haki itaendelea milele, siku namna ikibadilika huyuhuyu utamsikia anaanza kusema kinyume na Hawa ya Leo..."Miafrika ndivyo tulivyo" alijisemea Nyaningabu
 
Katiba ya JMT, 1977
Ibara ya
"63.-(1).....,....
(2).........
(3) Kwa madhumuni ya utekelezaji wa madaraka yake Bunge
laweza-
(a)......

(b)........

(c).........
(d)..........
(e) kujadili na kuridhia mikataba yote inayohusu Jamhuri
ya Muungano na ambayo kwa masharti yake inahitaji
kuridhiwa."

Maana yake ni kwamba iwapo mkataba una kifungu chenye sharti kwamba lazima Bunge liujadili na kuridhia, basi mkataba huo ndipo utaenda Bungeni.

Ila iwapo Mkataba husika unakataza ama hausemi chochote iwapo Bunge lihusike, basi mkataba huo hautapelekwa Bungeni.

Maana yake ni kwamba, Katiba yetu imeipa nguvu mikataba kuamua iwapo iende Bungeni au la.

Kwa hiyo mikataba kwenda Bungeni siyo lazima.
 
Sijui wewe unafikiri vp, kimsingi kila mkataba unatakiwa kuletwa bungeni. Hawa watanzania wasiopenda demokrasia na uwazi kama wewe ndio maadui wakubwa wa nchi hii. Wananufaika kwa maovu na upumbavu wa viongozi wetu.
Tungekuwa na bunge lenye meno ningeunga mkono mawazo yako. Lkn kwa bunge hili kibogoyo itakuwa ni kupoteza muda tu.

Ripoti ya CAG inapelekwa bungeni kila mwaka. Nini cha maana kinachofanyika?
 
Hata Mimi najiuliza ni nani aliyependekeza eti mikataba yote ya kuanzia thamani ya Bilioni 50 ipelekwe kujadiliwa Bungeni.

Hilo pendekezo ni ujinga mwingine,badala ya kuongeza Ufanisi na kupunguza kero tunaongeza urasimu,Hii Nchi inaingia mikataba mingapi? Bunge si litakuwa la kujadili mikataba Sasa Kila siku?

View: https://twitter.com/swahilitimes/status/1699835506861961642?t=4zilpr82V7uVbwXxwwJddQ&s=19

My Take
Naunga mkono Msimamo wa Mwigulu na Serikali.

Cha muhimu ni kuweka sheria Kali za uwajibikaji za kuwabana watu wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Chemba ya Wataalamu wa Mikataba wa Serikali in case kutagundulika blander zozote.

Kheee..!! This is the best bullshit of the year 2023..!!
1. Unadhani nini kinasababisha mikataba ipelekwe bungeni? Achia mbali nani aliamua.
2. Huoni kwamba hiyo inatoa nafasi ya kuchambua vipengere vyote vya mkataba husika ili kujua vina faida kiasi gani kwa nchi?
3. Huoni kuwa inaondoa utashi wa mtu mmoja kweny kuamua jambo la kitaifa?
 
Back
Top Bottom