DALLAI LAMA
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 8,652
- 2,628
Spika Makinda amemwamuru Mwigulu kuvua mara moja ndani ya ukumbi wa bunge leo jioni!
Pongezi spika kwa kumkumbusha Mwigulu nidhamu ya bunge!
mjinga huyu ha ha ha ha japo yeye anazidi kutengeneza hela siye tumebaki kusema mjinga mpenda sifa ha ha ha ha...
Petro E. Mselewa una wivu wa kike!
We una wivu wa kishoga
Sijui jamaa abapebda sifa?
Amfue na shanga zake
Wamtoboe macho kabisa?????M.I.E...M.B.E wajiandae kupokea MOKO muda si mrefu kwani ....Samsoni amebainika kilahisi na delila...Mwigu...kushnei babake.