Mwigulu Nchemba avuliwa skafu na Spika!

Spika Makinda amemwamuru Mwigulu kuvua mara moja ndani ya ukumbi wa bunge leo jioni!

Pongezi spika kwa kumkumbusha Mwigulu nidhamu ya bunge!

M.I.E...M.B.E wajiandae kupokea MOKO muda si mrefu kwani ....Samsoni amebainika kilahisi na delila...Mwigu...kushnei babake.
 
Wakati Mwigulu anavuliwa skafu, mbona hakuwa na ujasiri wa kumwambia Spika, "Over my dead body!" ?????
 
Tehehehe Yonaz Savimbiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!! Hiloooooooooooo!
Mnafiki mkubwa huyu ajifanya mzalendo kichwani pumba tu mngo'oa kucha interahamweeee!
 
Katika yote mie nampa sifa Mwigulu kwa hili pekee.
ImageUploadedByJamiiForums1401374876.358064.jpg


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Hiyo skafu aliipereka kwa tb joshua akaipeifanyia mambo ndio maana hataki kuivua!
 
Back
Top Bottom