Mwigulu Nchemba ajibu kuhusu madai ya Bashe na raia kutekwa

Hii wizara tatizo inaingiliwa kazi zake na mamlaka ya juu
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Lameck wizara imemshinda.
Kama wizara imempwaya huyu anaweza hata akauza nchi kwa woga alionao kama akipewa urais. Ameonesha hana ujasiri
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Ila namuonea hutuma Mwigulu maana watu washamuona hana msimamo na ndoto zake za urais ndo anazizika mwnyw maana waTz walimuona imara sana ila kwa kupelekeshwa huku na ba bashite na mwanae jamaa kapoteza kabsa mvuto wa kisiasa
 
Huyu Mwigulu kawa waziri asiye na meno kabisa kwenye hiyo Wizara.

Tatizo kuu Bashite wa Koromije ndiye right-handman wa Mukulu, ukitoa kauli za kuvurugana na Bashite tu, kakitumbua kanatiwa mchanga.
Waziri ni bashite.ndo pm .mwigulu anamuogopa
 
Mara nyingi kwa uzoefu wangu wizara ya mambo ya ndani huwa inawaharibu na kuwapoteza kabisa kisiasa kwa yeyote atakayewekwa!
Angalia watu wote waliowahi kushika hiyo wizara mwisho wao kisiasa ulikuwaje!
Hili ndio naliona kwa mwigulu
Kuna ukweli hapa, Nahodha, Chikawe, Nchimbi, Nalaila Kiula, Mrema, Mapuri, Kitwanga. Ni Mwinyi pekee ndiye alipenya!
 
Huyu mwandishi nae kilaza. Ametaka kujua tofauti ya ukamataji na utekaji tuu?
A nazungumziaje haya Matukio? Anawaachia polisi na mitandao?

Tatizo letu watz tuna reaction kwenye mitandao lkn live(direct) reaction hatuna.
SA kina maandamano lkn sisi tunaandamana mtandaoni.
Lead by example kma SA.
 
Shida ni kwamba hata Mwigulu anakuwa kama sio Home Affairs Minister..
Kila kitu hajui.
Ninajua uwezo wake ila naamini ameshindwa kazi kwenye hii wizara though sio kosa lake nahisi mkulu anaingilia utendaji wake nae anashindwa cha kufanya maana unaingia ofisini unakuta boss keshatoa maelekezo kwa watu wengine we unabaki kuchati ti
 
Ninajua uwezo wake ila naamini ameshindwa kazi kwenye hii wizara though sio kosa lake nahisi mkulu anaingilia utendaji wake nae anashindwa cha kufanya maana unaingia ofisini unakuta boss keshatoa maelekezo kwa watu wengine we unabaki kuchati ti
Ulichosema ni kweli kabisa Mkuu,
Na hata Sugu jana bungeni alisema kabisa kwamba inaonekana Mwigulu hauna uhuru kwenye Wizara yako, basi
Jiuzulu.
Kwa mfano haiwezekani Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi toka kituo cha Clouds kilipovamiwa mpaka leo zaidi ya Mwezi hajawahi kuzungumza kitu kuhusiana na hili tukio.
 
Mwigulu aliungaunga sana shule yake kutokana na shida....HAWEZI KUJIUZULU
 
Tatizo Bashite mwnaa wa Mfalme... !! Ukimgusaa bhasii ndo mwisho wako...
 
Mi naona mwigulu anafanya kazi kwenye mazingira magumu sana, anaona akichukua hatua anaweza kujikuta anamfuata nape,[color =red] we huoni hata mwakyembe hashajitoa ufahamu,[/color] . tatizo kubwa lipo kwa bashite
 
Back
Top Bottom