Nenda kafungue kesi basi kama unalolisema linaukweliIna maana mkuu wewe unaunga mkono utapeli katika jamii? Kutumia jina la mtu kusoma ni utapeli usiostahili kufumbiwa macho.
O level yeye akiwa kidato cha NNE mm nilikuwa kidato cha kwanzaFreeman Mbowe atoe vyeti vya elimu yake pia kuanzia secondary hadi chuo kikuu.
Nenda kafungue kesi basi kama unalolisema linaukweli
Daudi Albert Makonda Tonaomba Utoe ufafanuzi Please.....
Pasco hata kama RC anaweza kuwa hata aliyepata zero lakini kitendo cha DAUDI ALBERT MAKONDA KUNUNUACHETI
CHA PAUL CHRISTIAN
kinamuondolea sifa ya kuwa Kiongozi.
Kwa Kuanzia Tuangalie Jina la DAUDI wakati yupo form v au alipokuwa MUCCOS na Tuangalie Jina la Huyo mtangazaji wa Tabora na cheti chake cha form iv simple tu,tutapata jibu.Daah haya kama ni kweli sio mnaanza kutia vumbi kampeni za kupiga vita madawa ya kulevya na ushoga tunasubiri uthibitisho alinunua lini, wapi, kivipi na kiasi gani na nani walikuwepo katika biashara hiyo
Kwa Kuanzia Tuangalie Jina la DAUDI wakati yupo form v au alipokuwa MUCCOS na Tuangalie Jina la Huyo mtangazaji wa Tabora na cheti chake cha form iv simple tu,tutapata jibu.
So huyo mtangazaji hana cheti original cha form four? Je Aliajiriwa vip hapo
kafungue wewe kwa kuwaunga mkono hao matapeli wanaotumia vyeti vya wenzao kupandia ngazi kimaisha. acha kupayuka ovyo kwa kuwatetea wahalifu bila sababu za msingi.Nenda kafungue kesi basi kama unalolisema linaukweli
Kununua Cheti maana yake anakitumia chetichako katika mambo yake,Kikihitajika anakichukua tu na kukirudisha.
Daudi(paul feki) na Paul(Waukweli) watakuwa wanajua walikutana vipi.Duuh haya mahusiano yao yalikua vip kama ya huyo Paul Christian Kagenzi na huyo anadaiwa "Paul feki"??