Mwigulu afanya igizo la msafara wake kusimamishwa

Mwenzie Kipara kanyolewa last week. I hope 2020 CCM's Candidate nomination will not have stupid and irrelevant people to Presidency Post!!
 
Kwani yeye ndiye amesema amesimamishwa au vyombo vya habari vimesema amesimamishwa?

Kama vyombo vya habari ndivyo vilivyosema, kwa nini unatoa lawama kwa Mwigulu?

Kwenye tasnia ya habari, don't blame the master, blame the messenger!
Sio wao
Wapohali Mbaya
Ufipa kumeingiliwa NA Gundu
 
Haters bhana, kwani hafaamishwi kuwa kuna watu wanakusibiri mahali kisha akawaambia wajiorganize mahali azungumze nao?? HALLO UKAWA, kuna simu siku hizi!
 
We are all politicians. Kama Mwanasiasa ukisimamishwa si unaweza kutafuta eneo ili msikilizane vyema na wananchi?

Ni ustaarabu wa kawaida tu sema itakua tatizo ikiwa Mwigulu hatashughulikia aliyowaahidi.Atawavunja moyo wananchi na kuivua nguo serikali yake.
Siku hizi akili zimekurudi,unaongea facts na unaokosoa kwa hoja ya siasa safi kuliko zamani huenda umepevuka na kuijua siasa vzuri kuliko zamani.Mungu akutimizie malengo yako
 
Yale maandiko aliyo yaandika kwenye madaraja na magofu ya nyumba kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu alishayafuta?
Halafu Mbeya hatuwezi kumsimamisha mtu mdogo kama Mwigulu, amuulize Mkapa na JK waliyo kumbana nayo Mbeya.
 
Huko mkoani Mbeya msafara wa Mwigulu "umesimamishwa".Mfasara huo "haujasimamishiwa" barabarani.Ni kwenye eneo la ofisi ya kijiji.Hili ni technical mistake tu,lakini ilitakiwa usimamishwe barabarani.Kwa bahati mbaya sana katika wizara yake ikakosekana sababu ya kusimamishiwa,ikabidi ziletwe sababu za migogoro ya ardhi ambayo kimsingi ni issue ya wizara ya ardhi......Mwigulu safi sana nawe umesimamishwa kama Magufuli
nimeona hiyo kitu halafu nimecheka sana , Mbeya wamsimamishe Mwigulu ! amuulize Jk kilichompata mbeya .
 
Aliyesema kuwa msafara umesimamishwa ni MWIGULU au ni mwandishi wa habari? Tuwe wakweli na makini katika uchambuzi wa mambo. Tusiwawekee maneno mdomoni mwa baadhi ya watu.
mkuu kuna mijitu ina roho ya kichawi aiseee ata ka hapendwi ts too much loh
 
Kwani yeye ndiye amesema amesimamishwa na wananchi au vyombo vya habari vimesema amesimamishwa na wananchi?

Kama vyombo vya habari ndivyo vilivyosema, kwa nini unatoa lawama kwa Mwigulu?

Kwenye tasnia ya habari, don't blame the master, blame the messenger!

Sometimes "the messenger" (not the master) can be hired!!
 
We are all politicians. Kama Mwanasiasa ukisimamishwa si unaweza kutafuta eneo ili msikilizane vyema na wananchi?

Ni ustaarabu wa kawaida tu sema itakua tatizo ikiwa Mwigulu hatashughulikia aliyowaahidi.Atawavunja moyo wananchi na kuivua nguo serikali yake.
Mkuu kumbe na wewe ni mwanasiasa hahahahahah kazi unayo unamkumbuka joseph selasini?
 
We are all politicians. Kama Mwanasiasa ukisimamishwa si unaweza kutafuta eneo ili msikilizane vyema na wananchi?

Ni ustaarabu wa kawaida tu sema itakua tatizo ikiwa Mwigulu hatashughulikia aliyowaahidi.Atawavunja moyo wananchi na kuivua nguo serikali yake.
Kumbe unagewa taarifa kua tutakusimamisha uandae hadi police na meza? Basi huo ni mkutano sasa
 
Back
Top Bottom