Pre GE2025 Mwigulu aenda kwenye saluni ya uswahili kujichanganya na wananchi wa kawaida. Muda wa viongozi kujifanya wanyonge

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Screenshot_20250219-204502.png

Utapeli
 
Wakuu,

Mambo yanazidi kuchangamka majimboni:BearLaugh::BearLaugh: eti kaenda kwa kinyozi Juma kunyolewa. Anatuonesha alivyokwenda mara ya kwanza saluni eti haikuwa maigizo:BearLaugh::KEKWlaugh:

Maigizo haya, mwishowe kijumba kiporomoke kwa uchakavu wafe, ili tu kufanya maigizo yao yaaminike badala ya kuboresha huduma wao wanaigiza maisha ya kimasikini kana kwamba ni sifa.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Wadanganyika walivyo mazumbukuku hakika juju imeingia
 
Back
Top Bottom