Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,783
- 4,793
Wakuu,
Mambo yanazidi kuchangamka majimboni
eti kaenda kwa kinyozi Juma kunyolewa. Anatuonesha alivyokwenda mara ya kwanza saluni eti haikuwa maigizo

Maigizo haya, mwishowe kijumba kiporomoke kwa uchakavu wafe, ili tu kufanya maigizo yao yaaminike badala ya kuboresha huduma wao wanaigiza maisha ya kimasikini kana kwamba ni sifa.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025