Mweusi mwingine apigwa risasi na askari USA

Askari hao wa USA wanadai kwamba raia huyo alikataa kutii amri bila shurti ya kuweka silaha aliyokuwa amebeba chini!
...kigezo hiki hiki kikitumiwa na askari wa Bongo wewe ndio ungekuja hapa kwa nguvu zote kuwatetea Askari hao na kuisifu serikali ''Tukufu'' ya hapa Kazi tu..
Ila kwa kuwa imetokea kwa wazungu unaowachukia sana,basi utalaani kwa nguvu zote...
 
Hawa wati weusi waache kifanya ukinga kwa kivuli cha wao ni weuso wanaonewa, sasa kamaa kama kweli alikataa kusalim amri na ana silaha, anategemea kina Jesse jackson, al sharton etc kumtetea?? Upuuzi tu!!

Kwa nini unahukumu watu usiowaelewa? Mambo mengine ni bora tu ukae kimya kuliko kujifanya jaji wa mambo usiyoyaelewa, unafikiri kuna mtu anayependa kufa? Au unafikiri kwa kuongea hivyo ndiyo Mzungu atakuona wewe better nigga?
 
Nyumbani wapi? Unakujua kwao au unajisemea tu. Watu wengine sijui wanatumia akili kufikiri au vp.

Hivi kwa nini watu wanadhani Wamarekani weusi Marekani siyo kwao?

Watu wamekuwepo Marekani kabla hata haijawa Marekani halafu wajinga wajinga wanadhani eti huko siyo kwao!

Elimu! Elimu! Elimu!
 
...kigezo hiki hiki kikitumiwa na askari wa Bongo wewe ndio ungekuja hapa kwa nguvu zote kuwatetea Askari hao na kuisifu serikali ''Tukufu'' ya hapa Kazi tu..
Ila kwa kuwa imetokea kwa wazungu unaowachukia sana,basi utalaani kwa nguvu zote...

Kwa sababu Historia ya USA siyo sawa Historia ya Tanzania yetu, USA ni jamii violent au jamii ya fujo wakati TanZania yetu siyo jamii ya fujo hiyo ndiyo tofauti!
 
Nyumbani wapi? Unakujua kwao au unajisemea tu. Watu wengine sijui wanatumia akili kufikiri au vp.
hahah....hawa ndio wale watu wanaoamini ipo siku wabantu watarudi kwao Congo na Cameroon...
 
Kwa sababu Historia ya USA siyo sawa Historia ya Tanzania yetu, USA ni jamii violent au jamii ya fujo wakati TanZania yetu siyo jamii ya fujo hiyo ndiyo tofauti!
ona jinsi unavyojichanganya kwa kauli zako...Haya husianisha ulichoandika hapa na mada yako...
 
wakati mwingine tusilaumu kuwa weusi kila akipigwa na polis anaonewa ila ukiangalia weusi weng usa ndo wanaojihusisha na vitendo vying vya kihuni na ubish kwa vyombo vya usalama(polisi) na hii unakuta imeshajengeka tabia kwa polis marekan kuwa na dhana kwamba weusi ni wakorofi na hawaheshim polisi
.
 
Bado wewe!

I am an upstanding law-abiding citizen who appreciates good cops because of their sacrifice for us.

I don't fear cops one bit.

Matter of fact, I thank them whenever I get an opportunity to do so because they are the buffer between civilization and total chaos.
 
sababu za msingi kama zipi!! baadhi ya wamarekani wanatuchukulia sisi kama sio binadamu vilee

Ndiyo, lakini si kila mzungu yuko hivyo mbona wengine wanaoana na waswahili.

Sasa huyu mswahili ambaye alikuwa ameshikilia silaha wana mwambia atupe silaha chini anakataa - hivi kwa akili za kawaida walitaka Polisi wa act/react kivipi - ukiwekea maanani kwamba jimbo hilo hilo wiki iliyopita Polisi 11 waliuuwawa na wengine kujeruiwa vibaya sana.
 
Hivi kila Mmarekani mweusi Anamiliki Silaha... Mbona Wanaokamatwa wote Eti wana Silaha
 
I am an upstanding law-abiding citizen who appreciates good cops because of their sacrifice for us.

I don't fear cops one bit.

Matter of fact, I thank them whenever I get an opportunity to do so because they are the buffer between civilization and total chaos.

Ni kweli uwezi kupata matatizo kwenye nchi za watu kama unaji conduct properly - Taifa lolote linaweza kukaa bila ya kuwa na jeshi la ulinzi lakini hakuna Taifa lolote Dunuani ambalo jeshi la Polisi alipo, Polisi wana umuhimu wa pekee katika jamii.
 
Back
Top Bottom