Mwenzenu mi naogopa, tayari washaanza kukamata wanaolibeza jeshi

Ujinga Ni pale wauwaji wanaendelea kujipanga upya huku mkihangaika na mawazo ya mtu...m

Ki ukwel Afirica tuppo sehem ya mwisho kabisa kwenye Kila kitu...

Kosa la huyo mtu halina athari yeyote kwa jeshi kimantiki.......
Kwani jeshi likiwa na account yake fb Na watu WA kujibu hayo mashombo Kuna tatizo gani....

Kama angalau Kuna mtu kwenye macho Na maskio angesisitiza familia za wahusika kupata jasho lao Na malipo stahiki ya kazi baada ya umauti, maana hapo Kuna uyatima Na utegemezi Mpya...

Hayo yote huwa nayaita mambo ya hovyo.... Focus on the important thing, not unnecessary distractions'
 
Taarifa yako mbona haijakamilika. Hujatupa chanzo wala eneo ambalo suspect amekuwa arrested
 
Back
Top Bottom