Mwenyekiti wangu(CCM), hata wewe baki na nafasi moja ili kudhihirisha nia njema uliyonayo

Rais
Mwenyekiti
Amiri Jeshi Mkuu
Waziri wa ujenzi
Waziri wa mambo ya ndani
IGP
Jaji Mkuu
Naibu Spika
Mkuu wa mkoa Arusha
. Hata Ngwazi Hastings Kamuzu Banda wala Alhaji Dr Prof Marshal Idd Amin Dada hawakuwa hivi
 
Naunga mkono hoja hata rais ambaye ni m/kiti wa ccm aoneshe dhamira ya kweli ya kupunguza vyeo au kofia nyingi za uongozi aamue ama avue kofia ya m/kiti wa chama au avue kofia ya urais hii ndio nia njema ya yale mageuzi anayotamani kuyafanya
 
Abaki yeye wengine wote wawe na kimoja ni sawa kabisa ikiwezekana afute vya wote abaki yeye
 
Kwa kawaida,mtu au kiongozi utakaye kusimamia jambo jema na uonalo linafaa kuwa ni bora ukawa ww ndiye mfano.

Rais wangu na m/kiti pia wa chama chetu nakuomba na kukushauli pia hata ww unapaswa kuachia ngazi MOJA ili uwe mfano mwema kwa unaowaongoza.

Bila kufanya hivyo hakika maana nzima ya dhamila njema kuhusu jambo hilo itakuwa haina maana kwalo.Italeta ukakasi pia kwa wanachama.Kwa sababu atakaye jambo hilo liwe yeye mbona anazo kofia mbili?!

Hujachelewa kiongozi wangu kuwa mfano.Binafsi nashauli ili ww uwe mfano yakupasa pia uachane na ama uenyekiti wa chama au uachane na .......!

Nakutakia uamuzi mwema.
Yaani mtamkondesha JPM.
Yaani auteme Urais au uenyekiti wa CCM.
Ha ha ha.
 
Hizo kofia mbili nadhani hazitakiwi ndani ya chama chao tu. Mkulu yeye huko kwenye chama ni mwemyekiti tu. Serikalini ndio raisi wetu.
 
Yaani mtamkondesha JPM.
Yaani auteme Urais au uenyekiti wa CCM.
Ha ha ha.
Haya yanayosemwa kuwa marekebisho ya katiba yanaweza kwa kiasi kikubwa kukiletea changamoto sana hiki chama na kujiletea makundi pinzani ndani ya chama hasa wale waliozoea kuwa na vyeo zaidi ya kimoja na kupunguzwa kwa idadi ya wajumbe wa halmashauri kuu na mkutano mkuu.
 
Back
Top Bottom