chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,968
- Thread starter
- #201
Magufuli anapambana na rushwa na ubadhirifu lakini mapambano yake hayana dira, sana sana ni kuzidi kuitumbukiza nchi kwenye shimo, hana diplomacy wala compromise, hafanyi tafiti wala hasikilizi ushauriRais gani ambaye amefanikiwa so far pamoja na kutopigana na kivuli chake? JPM anajitahidi kututoa kwenye shimo na wengi wanaomkataa ni wahanga wa juhudi zake. Kuna mambo sio lazima yapate washabiki ili yasonge mbele. Mojawapo ni kuongoza Taifa ambalo umaskini unatokana na kujitakia..rushwa, uongo, wizi wa mali ya umma, ukosefu wa nidhamu kazini, ujuaji na uswahili uliopitiliza etc
Akunje ndita tu...mengine watayaona mbele wakati amekamilisha kazi yake...ndio tupate wasaa wa kusema amefanikiwa au la
ameuwa biashara za watu wengi na wengi kukosa ajira kutokana na pupa zake hizi