joyce mngongo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2016
- 890
- 972
Kufa au kuuwawa kwa mwanadamu yyte hakufurahishi.ila wakiuwawa wapinzani,policcm,hawaambiwi wackae mjini,na waende vijijini !Mawazo kauwawa km jibwa,na waliomuua wanapeta mtaani !
Hali hii na ubaya wa roho za watu,umeaccwa na ccm bila kificho.ikiwa upande mmoja tu,ndo wanastahili kuuwawa,wanaouwawa wanachoka nao wanaua wanao waua.serikali ya ccm itetende mema,kwa yyte bila kujali chama,waone km Haya yatakuwepo.akishinda mpinzani sehemu,aongoze,co kumshitaki,kumnyang'anya,ushindi,km Meya kinondoni nk.
ccm mmeharibu nchi,na mmeyataka wenyewe,na hii lawama iwafikie ppte mlipo.ona mlivyotoa amri za haraka kwakua wahanga ni ccm !,na imeandikwa mitandaoni,na wakati habari za mitandaoni,hazifanyiwi kz na mtukufu sana !
Jamani,ulimi ni kiungo kidogo sana,ila madhara yake nimakubwa kuliko chochote.na hii haichagui,ni ulimi wa yyte,awe kiongozi au mwananchi.vyombo vya habari mmevikaba mpaka vinakizunguzungu cha uandishi,ss mitandao ikiandika ccm wanauwawa mcfanyie kz kwakua mitandao ndo inayoandika !
Hakika kwa utawala huu tumekwisha.